Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kutumia database ya mysql kwenye Dart. hakikisha umeelewa vyema na kutekeleza yalioelekezwa kutoka kwenye somo lililopita.
Sasa rudi kwenye software yako uliokuwa ukitumia toka masomo yaliotangulia. Kwa mimi natumia webstorm hivyo nitaifunguwa webstorm kisha nita open project ambayo yumeitengeneza. Kumbuka utaikuta kwenye disk c kama ilivyoelekezwa kwenye somo lililopita.
Baada ya kuifunguwa project yako utaona kuna mafolda na mafaili kadhaa kama inavyoonyeshwa kwenye picha hapo chini. Unachotakiw akufanya nikubofya folda lililoandikwa bin humo utakuta faili limendaika tehama.dart hilo ndio faili ambalo tutakwenda kulifanyia kazi.
Humo utakuta kuna baadhi ya code tayari zipo sasa futa zote pawe patupu, ili tuanze upya kabisa. Kwanza kabisa tutaanza na ku import dart mysql package kwa kutumia import 'package:mysql1/mysql1.dart';
Hakikisha tayari una jina la database, username, na password ya hiyo database. Sasa vizuri uwe na database kutoka kwenye real hosting, hata hivyo unaweza kutumia free kama nilivyokuelekeza katika somo lililopita, ijapokuwa database za free baadhi ya vipengele vinaweza vikasumbuwa. Hapa nakwenda kutumia real database kutoka kwenye hosting ya kulipia, hivyo ni matumaini yangu utaelewa vyema.
Hatuwa ya kwanza ni kuu ganisha database yako.
import 'package:mysql1/mysql1.dart';
import 'package:test/expect.dart';
import 'dart:async';
Future main() async {
//funguwa connection
final conn = await MySqlConnection.connect(ConnectionSettings(
host: 'mydbhost.com',
port: 3306,
user: 'test',
db: 'user_test',
password: 'pass'));
if(conn !=isNull){
print("connected");
}else{
print("failed to connect");
}
await conn.close();
}
Hapo nimetumia async programming kwa ajili ya kupata future.kisha nikatengeneza fariable ambayo itatumia kuangalia connection ambayo ni conn. Baada ya hapo hatuwa inayofuata ni kutengeneza table. Mpaka sasa kwenye database yangu hakuna table.
Nakwenda kutengeneza table yenye column 3 ambazo ni id, jina, email. Tafadhali rejea mafunzo ya datbase kama concept hizi za kutumia dtabase zinakusumbuwa tutatumia query hii CREATE TABLE users (id int NOT NULL AUTO_INCREMENT PRIMARY KEY, name varchar(255), email varchar(255), age int
Angalia mfano hapo chini:-
import 'package:mysql1/mysql1.dart';
import 'package:test/expect.dart';
import 'dart:async';
Future main() async {
//funguwa connection
final conn = await MySqlConnection.connect(ConnectionSettings(
host: 'mydbhost.com',
port: 3306,
user: 'test',
db: 'user_test',
password: 'pass'));
if(conn !=isNull){
print("connected");
}else{
print("failed to connect");
}
// Create a table
await conn.query(
'CREATE TABLE users (id int NOT NULL AUTO_INCREMENT PRIMARY KEY, name varchar(255), email varchar(255), age int)');
await conn.close();
}
Hapo utaona tayari database yetu ina table ya users yenye column 4 mabzo ni id, age, name na email. Hatuwa inayouata ni kuingiza data kwenye table yetu.
import 'package:mysql1/mysql1.dart';
import 'package:test/expect.dart';
import 'dart:async';
Future main() async {
//funguwa connection
final conn = await MySqlConnection.connect(ConnectionSettings(
host: 'mydbhost.com',
port: 3306,
user: 'test',
db: 'user_test',
 ">...
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu concept ya polymorphism.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu function kwenye dart, jisni ya kziandika na matumizi yake.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza aina za data zinazotumika kwenye Dart.
Soma Zaidi...Katika somo lililopita tumejifunza kuhusu sintaksia za dart. Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kutengeneza variable kwenye Dart.
Soma Zaidi...Katika somo hiliutakwenda kujifunza aina nyingine ya constructor ambayo hutumika kwenye Dart. aina hiyo ni factory constructory.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu class interface na inavyotofautiana na class abstract
Soma Zaidi...Katika somo hili tutatkwenda kuziona baadhi ya xyntax yaani kanunu za uandishi wa code za dart.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu static property na jinsi ambavyo inavyotumika.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu switch case na jinsi inavyofanya kazi kwenye Dart.
Soma Zaidi...Ka tika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu concept ya named constructor na constant constructor kwenye Object Oriented Programming.
Soma Zaidi...