Posti hii inahusu zaidi faida za apple kwa mama mjamzito, ni faida anazozipata mama akiwa mjamzito kwa sababu ya kuwepo kwa vitamini mbalimbali kwenye apple ambavyo usaidia katika makuzi ya mtoto.I
1. Tunda la apple usaidia kumpatia mama na mtoto kinga wakati mtoto akiwa tumboni tunajua wazi kuwa mtoto Upata chakula kupitia kwa Mama kwa hiyo mama akiwa anatumia apple mara kwa mara hasa hasa apple moja kwa siku umsaidia kuongeza kinga kwa mtoto na kwa Mama pia na kupunguza Magonjwa mbalimbali kama vile pumu kwa mtoto.
2. Tunda hili la apple pia usaidia kujenga mifupa kwa mama na kwa mtoto, ufanya kazi hizi kwa sababu ya kuwepo kwa kiasi kikubwa cha vitamini c kwenye tunda la apple, kwa hiyo kila tunda kuna kiasi chake cha vitamini kwa hiyo mama anapotumia tunda hili uongeza kiasi kikubwa cha vitamini c kwa mtoto.
3. Kupitia tunda hili usaidia pia mwili wa mama kufyonza kiasi cha madini ya chuma kwa urahisi, tunajua na tunaelewa wazi mama mjamzito anapaswa kuw na wingi wa madini ya chuma kwenye mwili na yanapaswa kufyonza kwa urahisi kwa hiyo kwa kutumia tunda la apple madini ya chuma yanaweza kufyonzwaka urahisi.
4. Pia tunda la apple usaidia kuwepo kwa mawasiliano mazuri kwa mtoto kwa sababu ya kuwepo potassium kwenye mishipa ya fahamu kwa hiyo hata shughuli zote zinaweza kwenda vizuri pasipokuwepo na shida yoyote kwa sababu ya kutumia tunda la apple ambalo lina kiwango kikubwa cha potassium.
5. Kwa hiyo baada ya kuona faida za tunda la apple kwa wajawazito ni vizuri kabisa kutumia tunda hili kwa wingi hasa kwa wale ambao wana uwezo wa kulipata , kwa sababu tunda hili lina gharama na pia madini na vitamini ambayo vipo kwenye tunda la apple yanaweza kupatikana kwenye vyakula vingine kwa hiyo kama uwezo wa kupata tunda hili ni mdogo msiganganie lakini mwenye uwezo anaweza kutumia kwa sababu ya kuwepo kwa faida nyingi kwenye tunda hili.
Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.
Download NowJe umeipenda post hii ?
kuhusu vitamini C, kuanzia chanzo chake, maana yake, upungufu wake na kazi zake kwenye miili yetu.
Soma Zaidi...Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu vyakula vya kuoambana na mafua
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kunywa chai
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula spinach
Soma Zaidi...Hapa utajifunza sababu za kupatwa na maumivu ya tumbo kwa chini upande wa kulia
Soma Zaidi...