Namna ya kutunza uke

Posti hii inahusu zaidi namna ya kutunza uke, tunajua wazi kuna magonjwa mbalimbali yanayoweza kutokea iwapo uke hautaweza kutunzwa vizuri na pia uke ukitunzwa vizuri kuna faida ya kuepuka maradhi ya wanawake kwa njia ya kutunza uke.

Namna ya kutunza uke.

1. Kwa kawaida epuka kutumia sabuni kuosha uke au vitu vyovyote vya manukato au vyema kemikali kwenye uke daima tumia sabuni ya kawaida wakati wa kusafirisha uke.

 

2. Daima asubuhi ukiamka Isha uke kwa kutumia maji safi na sabuni na maji yanayopaswa kutumika ni maji ya baridi, epuka kutumia maji ya moto wakati wa kuosha uke kwa sababu maji ya moto ulegeza uke na kufanya uke kupoteza ubora wake kwenye ubora wake.

 

3. Tumia chupi za pamba kwasababu zina uwezo wa kufyonza maji vizuri na kusababisha uke kuwa kwenye hali yake ya kawaida kwa hiyo chupi hizi zina uwezo wa kufyonza maji.

 

4. Vaa skeni taiti mda wote au mda mwingi hasa ukiwa kwenye period kwa sababu usmfanya sehemu ya uke kuwa na asili yake ya kuwa mweusi,

 

5. Wakati wa kuosha uke daima anza mbele kwenda nyuma kwa sababu ukianza nyuma kwenda mbele itasababisha vijidudu kutoka kwenye kinyesi kuja kwenye uke na kusababisha madhara mbalimbali ambayo ni pamoja na Maambukizi kwenye sehemu za mkojo.

 

6. Usipende kuingiza vidole kwenye uke 

Kwa kawaida vidole ufanya kazi mbalimbali na pengine huwa na uchafu kwa hiyo kuiingiza vidole kwenye uke usababisha Maambukizi kwenye uke.

 

7. Siku zote safisha uke baada ya kujifungua kwa maji na sabuni ili kuweza kuondoa uchafu ambao unaweza kusababisha Maambukizi kwa mda wowote ule.

 

8. Tumia maziwa ya mtindi kila siku kadiri upendavyo kwa sababu kwa kupitia maziwa hayo unaweza kupata faida nyingi ambazo ulikuwa bado haujazijua.

 

9. Badilisha pedi mara kwa mara hasa ukiwa kwenye period daima pedi isizidi masaa mawili kabla haijabadilishwa, maana inaweza kusababisha Maambukizi.

 

10. Kwa kufanya hivyo utaweza kuufanya uke wako uwe safi na kuwa mbali na magonjwa mbalimbali ambayo yanaweza kuwa chanzo chaugumba na matatizo mbalimbali ya uzazi.



Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2022/06/03/Friday - 03:10:25 pm     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 3504


Download our Apps
👉1 kitabu cha Simulizi     👉2 Kitau cha Fiqh     👉3 Madrasa kiganjani     👉4 Kitabu cha Afya    

Post zifazofanana:-