picha
DALILI ZA MAUMIVU YANAYOSABABISHWA NA MTIRIRIKO MDOGO WA DAMU.

Posti hii inazungumzia kuhusiana na maumivu yanayosababishwa na mtiririko mdogo wa damu, kwa kawaida wakati wa mazoezi. Wakati mwingine...

picha
SABABU ZA KUVIMBA KWA KOPE.

Post hii inazungumzia kuhusiana na Sababu zinazopelekea kuvimba kwa kope, kawaida huhusisha sehemu ya kope ambapo kope hukua na kuathiri...

picha
SIGNS AND SYMPTOMS OF PREGNANCY.

In fact there is a lot of signs and symptoms of pregnancy a mother experiences throughout pregnant. These signs may...

picha
HATUA ZA MAAMBUKIZI YA UGONJWA WA UKIMWI.

Posti hii inahusu zaidi hatua mbalimbali za Ugonjwa wa Ukimwi, kawaida Ugonjwa huu huwa na hatua kuu nne ila kila...

picha
MADHARA YA UGONJWA WA UKIMWI KWENYE JAMII.

Posti hii inahusu zaidi madhara ambayo yanaweza kutokea ikiwa Ugonjwa huu wa ukimwi ukishasmbaa kutoka sehemu moja kwenda nyingine na...

picha
VITU VINAVYOCHOCHEA KUWEPO KWA UGONJWA WA UKIMWI.

Posti hii inahusu zaidi vitu ambavyo vinasababisha kuongezeka kwa Ukimwi kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine na baada ya...

picha
MAKUNDI YA WATU WALIO KATIKA HATARI YA KUPATA UGONJWA WA UKIMWI

Posti hii inahusu zaidi watu walio katika hatari ya kupata Maambukizi ya ugonjwa wa ukimwi,ni kutokana na kazi zao pamoja...

picha
FAHAMU KUHUSU UGONJWA WA UKOMA

Posti hii inahusu zaidi Ugonjwa wa ukoma ni Ugonjwa unaosababishwa na bacteria anayejulika kama mycobacterium leprae.

picha
AINA ZA KIFUA KIKUU.

Posti hii inahusu zaidi aina mbili za kifua kikuu, aina ya kwanza ni ile ya kawaida ambayo ushambulia mapafu na...

picha
DALILI ZA MIMBA INAYOTISHI KUTOKA

Posti hii inahusu zaidi dalili za mimba inayotaka kutoka yenyewe, Kuna wakati mwingine mama anabeba mimba na mimba hiyo I...

picha
MIMBA KUTOKA KABLA YA UMRI WAKE

Posti hii inahusu zaidi kuhusu kwa mimba kutoka kabla ya mda wake,ni kitendo ambacho mimba utoka kabla ya wiki ishilini...

picha
HUDUMA KWA MAMA MWENYE KIFAFA CHA MIMBA.

Posti hii inahusu zaidi huduma ambazo wajawazito wanaweza kuzipata wakiwa na Dalli au tayari wana kifafa cha mimba.

picha
DALILI ZA KIFAFA CHA MIMBA.

Posti hii inahusu zaidi Dalili za Mama mwenye kifafa cha mimba, ili kifafa cha mimba kiweze kutokea lazima kuna dalili...

picha
SABABU ZA UGONJWA WA KIFAFA CHA MIMBA.

Posti hii inahusu zaidi sababu za kifafa cha mimba, kwa kawaida mpaka sasa hakuna taarifa zozote kuhusu sababu za kuwepo...

picha
FAHAMU UGONJWA WA KIFAFA CHA MIMBA.

Post hii inahusu zaidi Ugonjwa wa kifafa cha mimba ambapo kwa kitaalamu huitwa eclampsia, utokea pale ambapo Mama anapokuwa na...

picha
FAHAMU KUHUSU UGONJWA WA PRE - ECLAMPSIA

Posti hii inahusu zaidi ugonjwa wa pre- eclampsia ni Ugonjwa ambao uwapata wanawake wajawazito uwapata pale mimba inapofikisha umri wa...

picha
NAMNA YA KUTOA HUDUMA KWA MGONJWA WA DENGUE.

Posti hii inahusu zaidi huduma anayopaswa kupata mgonjwa wa ndengue, kwa sababu tunafahamu wazi Ugonjwa huu hauna dawa ila kuna...

picha
NAMNA YA KUFUNGA KITOVU CHA MTOTO.

Posti hii inahusu zaidi njia au namna ya kufunga kitovu cha mtoto mara tu anapozaliwa, kwa kawaida tunafahamu kwamba ili...

picha
NAMNA YA KUANGALIA KAMA MTOTO ALIYEZALIWA ANAPUMUA

Posti hii inahusu zaidi mbinu za kuangalia kama mtoto anapumua pindi anapozaliwa,tunajua kabisa ili kujua na kuelewa kama mtoto yuko...

picha
NAMNA YA KUTUNZA JOTO LA MTOTO MARA TU BAADA YA KUZALIWA.

Posti hii inahusu zaidi njia ambazo zinaweza kutumika ili kuweza kutunza joto la mtoto mara tu anapozaliwa,tunajuwa wazi kuwa Mama...

picha
MAMBO YA KUZINGATIA KWA MTOTO MARA TU ANAPOZALIWA

Posti hii inahusu zaidi mambo ya kuzingatia kwa mtoto pindi anapozaliwa,tunajua wazi kuwa mtoto anapoanza kutokeza kichwa tu ndio mwanzo...

picha
DALILI ZA DENGUE.

Posti hii inahusu zaidi dalili za Dengue,ni Dalili ambazo huwa kwenye makundi matatu na kuwepo kwa makundi hayautegemea kuongezeka kwa...

picha
FAHAMU KUHUSU UGONJWA WA DENGUE

Posti hii inahusu zaidi ugonjwa wa Dengue, ni ugonjwa unaosababishwa na virusi ila unasambazwa na mbu kutoka kwa mtu mmoja...

picha
NJIA ZA KUZUIA UGONJWA WA TAUNI.

Posti hii inahusu zaidi njia mbalimbali ambazo zinaweza kutumika ili kuweza kuepuka Ugonjwa wa raundi.

Page 158 of 230

Kuhusu Bongoclass

image

Bongoclass ni jukwaa la Kitanzania lenye lengo la kushirikisha maarifa na akili ili kukuza uwezo wa watu binafsi na jamii kwa ujumla. Kupitia tovuti yetu, programu ya simu, na mitandao ya kijamii, Bongoclass hutoa maudhui ya elimu bure kwa Kiswahili katika maeneo mbalimbali kama afya, burudani, na masomo ya shule. Jukwaa hili linajikita katika kutoa fursa za kujifunza, kushirikiana, na kukuza uchumi kwa kuzingatia muktadha wa kitamaduni na lugha ya Kiswahili.