Madhara ya kutotibu Ugonjwa wa homa ya utu wa mgongo
Posti hii inahusu zaidi madhara ya kutotibu homa ya uti wa mgongo, kwa kuwa ugonjwa huu mara nyingi uathiri sehemu za kwenye ubongo kuna madhara ambayo yanaweza kutokea endapo Ugonjwa huu haujatibiwa mapema.
Madhara ya kutotibu Ugonjwa wa homa ya uti wa mgongo.
1. Kwanza kabisa tunapaswa kujua kwamba Ugonjwa huu ni matokeo ya kushambuliwa kwa layer za spinal cord na ubongo ambazo Usababisha kuongezeka kwa kiwango kikubwa cha maji maji ambayo yapo kwenye ubongo na sehemu ya spinal cord, hali hii usababisha matatizo mbalimbali kwenye mfumo mzima wa ubongo.
2. Pia kwa kuwa Ugonjwa huu usambaa kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine kwa njia rahisi ambayo ni pamoja na kukaribiana kwa kugusa maji maji yoyote kutoka kwa mgonjwa na utampata mtu endapo na yeye atakuwa na Mgonjwa karibu kwa yugonjwa huu husipotibiwa mapema uweza kusababisha madhara kwa watu wanaomtunza Mgonjwa hasa hasa kama hawana maarifa kuhusu Ugonjwa huo
3. Pia kama Ugonjwa huu hautatibiwa mapema usababisha kuharibika kwa mifumo mingine mwilini ambayo kwa kitaalamu huitwa cerebral infarction, kwa hiyo hasa hasa Tatizo la usafirishaji wa damu kutoka kwenye moyo kwenda kwenye sehemu nyingine za mwili uleta shida kwa hiyo hali hii usababisha damu kushindwa kusafirishwa kwenye ubongo.
4. Vilevile kunakuwepo na matatizo katika sehemu mbalimbali za nje ya mishipa ya moyo ambayo kwa kitaalamu huitwa endocarditis, ni Maambukizi kwenye sehemu za mishipa ya moyo.
5. Kwa hiyo baada ya kujua matatizo hayo yote tunapaswa kuwa makini na Ugonjwa huu kuhakikisha kwamba tunatibu mapema kama imegunduliwa mapema ili kuweza kuepuka matatizo na madhara ambayo yanaweza kutokea yakawa mabaya zaidi.
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 kitabu cha Simulizi 👉2 Simulizi za Hadithi Audio 👉3 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) 👉4 web hosting 👉5 ai web app 👉6 Dua za Mitume na Manabii
Post zinazofanana:
HUDUMA YA KWANZA KWA ALIYEPATWA NA KWIKWI
Kwikwi sio hatari sana kwa afya, lakini inaweza kuwa hatari zaidi kwa mu aliyefanyiwa upasuaji kwenye tumbo.
Soma Zaidi...fahamu vitamini A na kazi zake
Je na wewe i katika wale ambaowanahitaji kujuwa kuhusu Vitamini A, kazi zake na vyakula vya vitamini A. post hii inakwenda kukujuza zaidi pamoja na historia ya vitamini A.
Soma Zaidi...Kiasi Cha mkojo kisichokuwa cha kawaida.
Hii posti inahusu zaidi sifa za mkojo usio wa kawaida,ukiona mkojo wa namna hii unapaswa kwenda hospitalini kwa matibabu au vipimo vya zaidi.
Soma Zaidi...Huduma ya Kwanza kwa aliyepatwa na presha ya kushuka
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu huduma ya Kwanza kwa mtu aliyepatwa na presha ya kushuka
Soma Zaidi...Umuhimu wa kutumia dawa za kujikinga na maambukizi ya ukimwi
Posti hii inahusu zaidi umuhimu wa kutumia dawa za kujikinga na maambukizi ya ukimwi, ni faida ambazo upatikana kwa watu wanaodhani wameambukizwa na virus vya ukimwi na kuweza kujikinga.
Soma Zaidi...