picha
SABABU ZA KUTANGULIA KWA KITOVU WAKATI MTOTO ANAZALIWA

Posti hii inahusu zaidi sababu za kutangulia kwa kitovu wakati wa mtoto anapozaliwa.

picha
KONDO LA NYUMA KUWA MBELE YA MLANGO WA KIZAZI

Posti hii inahusu zaidi sababu za kondo la nyuma kuwa mbele ya mlango wa kizazi, kwa kawaida kondo la nyuma...

picha
UMUHIMU WA KUTUMIA DAWA ZA KUJIKINGA NA MAAMBUKIZI YA UKIMWI

Posti hii inahusu zaidi umuhimu wa kutumia dawa za kujikinga na maambukizi ya ukimwi, ni faida ambazo upatikana kwa watu...

picha
HATUA ZA KUFUATA BAADA YA KUHISI KUWA UMEAMBUKIZWA NA VIRUSI VYA HIV

Posti hii inahusu zaidi hatua za kufuata unapohisi umeambukizwa na virus vya ukimwi. Kwa sababu watu wengi wanakuwa na kiwewe...

picha
HUDUMA KWA WATU WALIODHANI WAMEPATWA NA MAAMBUKIZI.

Posti hii inahusu zaidi huduma ambazo utolewa kwa watu wanaodhani wamepatwa na maambukizi ya virus vya ukimwi.

picha
WANAOPASAWA KUTUMIA PEP

PEP Ni dawa ambazo utumiwa na watu wanaojamiiana na watu wenye virus vya ukimwi ila wenyewe hawawezi kupata kwa sababu...

picha
HUDUMA KWA WATU WANAOISHI NA VIRUSI VYA UKIMWI

Posti hii inahusu zaidi huduma ambazo wagonjwa wanaoishi na maambukizi ya virus vya ukimwi wanaweza kupata, huduma hii utolewa hasa...

picha
MDA WA KUFANYA TENDO LA NDOA BAADA YA KUJIFUNGUA

Posti hii inahusu zaidi mda ambao mama anapaswa kukaa bila kufanya tendo la ndoa mara tu baada ya kujifungua.

picha
NJIA ZA JUMLA ZA KUJIKINGA NA MAGONJWA MBALIMBALI

Posti hii inahusu zaidi njia mbalimbali za kujikinga na magonjwa, kwa kawaida tunajua wazi kuwa magonjwa yapo na yanasambaa kutoka...

picha
NJIA ZA KUSAMBAA KWA UGONJWA KUTOKA KWA MTU MMOJA KWENDA KWA MWINGINE

Posti hii inahusu zaidi jinsi magonjwa yanavyosambaa kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine.

picha
NJIA ZA KUZUIA UGONJWA WA KISONONO

Posti hii inahusu zaidi njia ambazo utumiwa Ili kuweza kuzuia kuwepo ugonjwa wa kisonono, kwa kufuata njia hizi ugonjwa huu...

picha
FAHAMU MAPACHA WANAVYOUNGANISHWA.

Mapacha walioungana ni watoto wawili wanaozaliwa wakiwa wameunganishwa kimwili. Mapacha walioungana hukua wakati kiinitete cha mapema kinapojitenga na kuunda...

picha
DALILI ZA KUVIMBIWA KWA WATOTO

Posti hii inazungumzia kuhusiana Kuvimbiwa kwa watoto ni tatizo la kawaida.Kuvimbiwa kwa watoto mara nyingi kuna sifa ya kupata haja...

picha
MAGONJWA YA MOYO

Posti hii inahusu zaidi magonjwa ya moyo, kwa kawaida watu wakisikia habari za magonjwa ya moyo huwa hawaelewi yanakuwaje kuwaje,...

picha
NJIA ZA KUPUNGUZA MAKALI YA PRESSURE AU SHINIKIZO LA DAMU

Posti hii inahusu zaidi njia mbalimbali za kupunguza ugonjwa wa pressure au shinikizo la damu kwa waliokwisha kupata wanaweza kupunguza...

picha
SABABU ZA MTOTO KUZALIWA AKIWA NA UZITO MKUBWA

Posti hii inahusu zaidi sababu za mtoto mchanga kuzaliwa akiwa na uzito mkubwa, ni tatizo ambalo utokea kwa baadhi ya...

picha
UGONJWA WA KISONONO

Posti hii inahusu zaidi ugonjwa wa kisonono, ni ugonjwa unaosababishwa na mdudu ambaye kwa kitaalamu huitwa Neisseria gonococcal.

picha
NAMNA YA KUZUIA UGONJWA WA KASWENDE

Posti hii inahusu zaidi njia za kuzuia Ugonjwa wa kaswende, tunajua wazi kuwa Ugonjwa huu unasambaa kutoka kwa mtu mmoja...

picha
UJUWE MLO SAHIHI KWA MGONJWA WA VIDONDA VYA TUMBO

Post hii itakwenda kuangalia mlo sahihi wa mwenye vidonda vya tumbo. Hata utajifunza ni vyakula vipi hapaswi kula na vipi...

picha
VIDONDA VYA TUMBO CHANZO CHAKE NA DALILI ZAKE

Katika post hii utajifunz akuhusu vidonda vya tumbo na jinsi vinavyotokea. Utajifunza pia tahadhari anazopasa mtu achukuwe na vyakula salama...

picha
NI WATU GANI WALIO HATARINI ZAIDI KUPATA UKIMWI?

Post hii itakwena kukufundisha kuhusu historia fupi ya Ukimwi na matibabu yake. Ni wapi wapo hatarini kupata maambukizi na ni...

picha
MATIBABU YA VIDONDA VYA TUMBO

Makala hii inakwenda kukufundisha kuhusu matibabu ya vidonda vyatumbo. Pia utajifunza kwa nini kunakuwa na vidonda vya tumbo sugu.

picha
JE UNAZIJUWA DALILI ZA UKIMWI NA HIV?

Huwenda ukawa ni moja kati ya watu wanaotaka kujuwa juu ya dalili za ukimwi. Kama wewe ni katika watu hawa...

picha
DALILI KUU ZA MINYOO

Minyoo ni katika viume wanyonyaji, wanaoishi katika miili ya viumbe hai na kujipatia chakula humo. Minyoo wanaweza kuishi kwenye maeneo...

Page 156 of 230

Kuhusu Bongoclass

image

Bongoclass ni jukwaa la Kitanzania lenye lengo la kushirikisha maarifa na akili ili kukuza uwezo wa watu binafsi na jamii kwa ujumla. Kupitia tovuti yetu, programu ya simu, na mitandao ya kijamii, Bongoclass hutoa maudhui ya elimu bure kwa Kiswahili katika maeneo mbalimbali kama afya, burudani, na masomo ya shule. Jukwaa hili linajikita katika kutoa fursa za kujifunza, kushirikiana, na kukuza uchumi kwa kuzingatia muktadha wa kitamaduni na lugha ya Kiswahili.