Katika somo hili utajifunza maana ya class kwenye OOP paradigm, kisha utajifunza jinsi ya kutengeneza class.
Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu class kwenye Dart OOP. utajifunza sintaksia zake na jinsi ya kuweza kuitumia.
Nini maana ya class
Kwenye OOP class ni blueprint kwa ajili ya kutengeneza object. Lamda nitoe mfano upate kuelewa. Kwa mfano tunakuwa na class yetu inatwa gari kisha gari linakuwa na sifa zake na tabia zake. Kwa mfano gari lina rangi, milango na matairi hizi ji attribute za class yetu inayoitwa gari. HAlafu class yetu gari ikawa na tabia kama inatembea kwa haraka, ni ndogo, na ni nyepesi hizi ni behaviour yaani tabia. Katika course hii tutakwenda kutumia mfano wa gari.
Sasa kwa kuwa class yetu gari tumesha itengenezea tabia na sifa zake. Sasa tunapotaka kutengeneza object yeyote inayohus gari inakuwa na sifa hizo. Mfano object toyota katika sifa iiatkuwa na rangi nyeusi, milango miwili, na matairi 4, na katika tabia itakuwa ni ndogo, na ni nyepesi.
Sasa kila unapotengeneza object lazima ufuate sifa hizo. Iwe ni toyota, BMW, bugati ama object yeyote ambayo ni gari. Ndio maana tunasema class ni blueprint kwa maana object zote zitafuata mpangilio uleule wa class husika. Ni sawa na kufananisha class na ramani ya nyumba. Kwa maana nyumba itafuaa kama ramani inavyotaka.
Jinsi ya kuandika class.
Ili uweze kutengeneza Class tutatumia keyword class ikifuatiwa na jina la hiyo class mfano gari kisha itafuatiwa na mabano {} ambapo ndani yake kutakaa code za hiyo class.
Mfano:
class gari{
}
Sehemu iliyo ndani ya mabano {} ndio huitwa body of the class<">...
Umeionaje Makala hii.. ?
Katika somo hili tutakwenda kuingia ndani zaidi kwenye somo la function. Hapa tutakwenda kuona aina za function.
Soma Zaidi...Ka tika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu concept ya named constructor na constant constructor kwenye Object Oriented Programming.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu static property na jinsi ambavyo inavyotumika.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu enum na inavyotumika kwenye Dart.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu switch case na jinsi inavyofanya kazi kwenye Dart.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jins ya kutengeneza constructor method, pia utajifunza matumizi yake kwenye OOP.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu function kwenye dart, jisni ya kziandika na matumizi yake.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu kazi za dart language. Pia nimekuandalia istoria fupi ya lugha ya DART.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza method yhinginge zinazofanya kazi kwenye list data type kwenye Dart.
Soma Zaidi...Katika somo hili tutakwenda kujifunza zaidi kuhusu method za getter na setter. Tutakwenda kuona hasa zinavyotumika na zinavyotengenezwa.
Soma Zaidi...