Posti hii inahusu zaidi Ugonjwa wa uti wa mgongo, ni ugonjwa unaoshambulia sehemu inayofunika ubongo na pia sehemu ya spinal cord
1. Kuwepo kwa homa kali.
Kwa kawaida homa hii inaweza kuleta madhara makubwa kwa mgonjwa kama matibabu ya kushusha homa hayajafanyika.
2. Shingo kuwa mgumu ambapo kwa kitaalamu huitwa siffnes of the neck, kwa hiyo Mgonjwa anapata shida kugeuza shingo, au akijaribu kugeuza hiyo shingo anaumia kwa sababu ya Maambukizi mishipa huwa imefuta kwa nguvu.
3 maumivu makali ya kichwa.
Kwa sababu Maambukizi yanakuwepo kwenye ubongo na hivyo Maambukizi ya kichwa yanakuwepo kwa kiasi kikubwa kwa sababu ya kuwepo kwa Maambukizi, kwa hiyo dawa za maumivu ni lazima ili kuweza kumsaidia mgonjwa.
4 mgonjwa anakuwa anaogopa mwanga.
Kwa sababu ya kuwepo kwa Maambukizi hata hivyo maumivu hayo ushambulia hata na sehemu za macho ambapo Usababisha maumivu na mgonjwa ushindwa kuangalia mwanga.
5. Kutapika pamoja na kuzimia
Kwa sababu ya kuwepo kwa Maambukizi mgonjwa uweza kutapika na kwa wakati mwingine Mgonjwa uzimia kwa mda na hatimaye uweza kurudia kwenye hali ya kawaida,ila kama mgonjwa anatapika ni vizuri kabisa kumsaidia au kumpa huduma za haraka ili hasiweze kuishiwa na maji kwa wingi na kuleta kitu kingine.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Posti hii inahusu zaidi dalili za kifua kikuu kwa watoto,ni Dalili ambazo ujitokeza kwa watoto pindi wanapopata Maambukizi ya kifua kikuu.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi njia ambazo zinaweza kutumika Ili kuweza kupunguza kuwepo kwa magonjwa ya zinaa
Soma Zaidi...Posti hii inazungumzia kuhusiana na dalili za Kikohozi cha muda mrefu ni zaidi ya kero. Kikohozi cha muda mrefu kinaweza kuharibu usingizi wako na kukuacha unahisi uchovu. Matukio makali ya kikohozi cha muda mrefu yanaweza kusababisha kutapika, kizunguz
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi dalili za ugonjwa wa kaswende kwa wajawazito, hizi ni dalili ambazo ujitokeza kwa watu wote, kwa sababu ugonjwa huu una dalili ambazo upitia kwa hatua mbalimbali kama tutakavyoona.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu athari za kutokutibu fangasi
Soma Zaidi...Posti hii inaonyesha ishara na dalili za Saratani ya utumbo mdogo
Soma Zaidi...Fangasi huweza kuishi na kuathiri maeneo mbalimbali ndani ya mwili.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi kuwepo kwa vipele kwenye midomo na sehemu za siri .Ni ugonjwa ambao kwa kitaalamu huitwa herpes zoster
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza baadhi ya dawa za kutibu kiungulia
Soma Zaidi...Madonda ya tumbo ni ugonjwa unaotokana na kuwepo kwa vidonda kwenye Koo, tumboni na kwenye utumbo mdogo
Soma Zaidi...