Posti hii inahusu zaidi njia mbalimbali za kuongeza uwezo wa kuzaa au kuzalisha kwa sababu kuna familia nyingi zinakosa watoto sio kwa sababu ni tasa ila kuna njia mbalimbali za kuongeza uwezo wa kuzaa kama ifuatavyo.
1.kuwa na uzito unaofaa.
Kwa kawaida uzito unapaswa kuwa sawia kwa sababu uzito ukiwa mkubwa unaleta shida na ukiwa mdogo zaidi na lenyewe ni shida kwa hiyo uzito wa wazazi wote wawili unapaswa kuwa sawa ili kuweza kusababisha uzalishaji nzuri kabisa.
2. Kuweka mbegu za kiume katika hali nzuri.
Kwa kawaida mbegu za kiume zinapaswa kuwa katika hali ya ubora kwa hiyo baba anapaswa kula mlo kamili ili kuweza kutingisha Mimba.
3. Kuepuka matumizi ya tumbaku na kudhibiti matumizi ya pombe kwa sababu usababisha Mama na baba kushindwa kuzalisha vizuri.
4. Pia wazazi wote wanapaswa kujikinga na magonjwa mbalimbali kama vile magonjwa ya zinaa, na magonjwa mbalimbali ambayo yanaweza kusababisha uzalishaji kuwa mbaya.
5. Kufanya tendo la ndoa mara kwa mara hasa wakati wa siku za kubebea mimba, fanya mapenzi kabla ya siku tano wakati wa kurutubishwa kwa yai na fanya mapenzi siku mbili baada ya yai kuchevushwa.
6. Kunywa pombe kistaarabu.
Yaani pombe zisizidi kiasi kwa mfano bia moja kwa siku au kiasi kidogo kwa siku, ila zisizidi kipimo. Kwa sababu unywaji wa pombe kupita kiasi usababisha kupungua kwa hormone ya testerone .
7. Punguza matumizi ya kahawa.
Kwa kawaida kwenye kahawa kuna kafein ambayo inaleta shida kwenye uzalishaji hasa hasa kwenye homoni.
8 epuka matumizi ya tumbaku,
Kwa kawaida matumizi ya tumbaku usababisha matatizo kwenye DNA tunajua kabisa kwenye DNA ndicho chimbuko cha mwanadamu.
9. Epuka mazoezi magumu.
Kwa kawaida mazoezi na kwa mda mrefu ukandamiza ovulation na kuaribu homoni ya projestoren, kwa hiyo ni vizuri kabisa kuwa na mazoezi madogo madogo.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu sababu za maumivu ya uume baada ya tendo la ndoa
Soma Zaidi...Kama uume wako unauma ama unahisi kuwa unaunguza ama kuchoma choma, post hii imekuandalia somo hili.
Soma Zaidi...Kondomu ni mpira ambao uwekwa kwenye uke au uume kwa ajili ya kuzuia mimba wakati wa kujamiiana
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi dalili za mimba inayotaka kutoka yenyewe, Kuna wakati mwingine mama anabeba mimba na mimba hiyo I atishia kutoka na huwa inaonyesha dalili mbalimbali kwa hiyo zifuatazo ni dalili za mimba kutaka kutoka yenyewe.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi njia za kuzuia upungufu wa damu kwa wajawazito, ni mojawapo ya njia ambazo utumiwa na wahudumu wa afya ili kuweza kuzuia upungufu wa damu kwa wajawazito.
Soma Zaidi...Je anapatwa maumivu Γ°ΕΈΛΒ makali wakati wa tendo la ndoa ama ukiwa katika hedhi? Soma makala hii hadi mwisho
Soma Zaidi...Nimesoma makala yenu, sasa nina swaliJe kitunguu saumu kina madhara kwa Mgonjwa wa figo?
Soma Zaidi...Post hii inazungumzia mama wajawazito Mara tu mama anapohisi kuwa yeye ni mjamzito anashauriwa kuanza clinic.na clinic hizi zinasaidia kuwapatia wakina mama elimu,namna ya kumkinga Mtoto asipatwe na maradhi Kama UKIMWI. Pia mama anapoanza clinic
Soma Zaidi...Post hii itakwenda kukuletea orodha ya vyakla vinavyoaminika kuongeza nguvu za kiume.
Soma Zaidi...