Posti hii inahusu zaidi njia mbalimbali za kuweza kupambana na fangasi za ukeni ili kuweza kujiepusha na madhara mbalimbali kwenye maisha ambayo ni pamoja na ugumba na Maambukizi kwenye via vya uzazi.
1. Kunywa maji mengi angalau glass nane kwa siku,
Kwa kufanya hivyo unaweza kusaidia kiwango cha kupunguza fangasi kwenye maisha kwa sababu maji yanasaidia kutoa fangasi ambao wapo tayari kwenye sehemu mbalimbali za mwili au kwenye via vya uzazi.
2. Jaribu kuepuka matumizi ya vileo vikali na hasa matumizi ya pombe na kahawa kwa sababu ni vitu ambavyo usababisha kuwepo kwa fangasi, kwa kufanya hivyo utaweza kupunguza kiwango cha fangasi.
3. Kunywa maji mengi baada ya kujamiiana na kojoa baada ya kujamiiana, kwa sababu kama kuna fangasi wataweza kutoka na kuepuka kuendelea kuwepo katika sehemu mbalimbali.
4. Kwa kawaida tunapaswa kutawadha kuanzia mbele kwenda nyuma, kwa sababu ukianzia nyuma kwenda mbele kuna bakteria ambao wanaweza kutoka kwenye njia ya haja kubwa na kuingia kwenye uke hali ambayo Usababisha kuwepo kwa fangasi.
5 kwa kawaida tunapaswa kukata makucha makubwa kwa sababu mtu akitoka choo anaweza kuja na hao fangasi na kuweza kusababisha kuendelea kwa kuenea kwa fangasi bila kuwepo aina yoyote ya uponyaji.
6. Daima tumia pedi ukiwa kwenye siku zako za mwezi na pedi hiyo isizidi masaa mawili kwa hiyo baada ya masaa mawili unapaswa kubadilika hiyo aina ya pedi na kuanza kutumia nyingine.
7. Epuka matumizi ya vipodozi kwenye sehemu za siri, kwa kawaida kuna wanawake au wasichana kabla ya kujamiiana uweka vipodozi kwenye sehemu za siri kwa hiyo vipodozi hivyo ni hatari kwa afya.
8. Daima vaa nguo za ndani za pamba.
Kwa kufanya hivyo utaweza kupunguza njia ya kuenea kwa fangasi, kwa hiyo ni vizuri kabisa kuendelea kuendelea kupambana na fangasi ili kuweza kuepuka matatizo mbalimbali kama vile ugumba na Maambukizi kwenye via vya ya uzazi
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Posti hii inakwenda kukuletea dalili za fangasi wa sehemu za Siri kwa wanaume
Soma Zaidi...Saratani ya ini ni Saratani inayoanzia kwenye seli za ini lako.
Soma Zaidi...Makala hii itakwenda kukupa elimu juu ya maradhi haya ya ukimwi, dalili zake, tiba na kinga zake na mengineyo zaidi.
Soma Zaidi...Upasuaji ni kundi la ki medical linalohusu kutoa kiungo kisichohitajika kwenye mwili.
Soma Zaidi...Muda ambao maambukizi ya virusi vya ukimwi kuonyesha dalili unaweza kutofautiana kutika mtu hadi mwingine.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza baadhi ya dawa za kutibu kiungulia
Soma Zaidi...Posti hii inaonyesha ishara na dalili za Saratani ya utumbo mdogo
Soma Zaidi...Posti hii inaonyesha namna ya kujizuia,Mambo ya Hatari,na na Mambo yanayopelekea Ugonjwa wa ukosefu wa mkojo
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi njia za maambukizi ya Homa ya inni, Homa ya inni usababishwa na virusi viitwavyo Hepatitis B, huwapata watu wote hasa wale wenye umri chini ya miaka mitano.
Soma Zaidi...Homa hii inapatikana katika maeneo ya bonde la ufa barani Afrika na na Mashariki ya kati.
Soma Zaidi...