Mtume amemfundisha kuwa watoto wafundishwe kuswali wakiwa na miaka saba na waadhibiwe wakiacha wakiwa na miaka 10
Watoto hao unaowaona hapo kwenye picha wanacheza mchezo mzuri. Unaona hapo kuna imamu akiwaswalisha wenziwe.
Utaona pia kina mtoto wa kike mmoja kwenye kundi hilo akiwa kwenye safu yake. Na hasa huu ndio utaratibu wa jamaa iliyo na mchanganyiko wa wanawake na wanaume.
Allah awape malezi bora watoto hawa
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Maana ya elimuElimu ni ujuzi ulioambatanishwa na utendaji.
Soma Zaidi...Post hii inakwenda kukupa orodha ya vitu vilivyo najisi.
Soma Zaidi...Nguzo za uislamu (EDK form 3: dhana ya elimu ya uislamu)
Soma Zaidi...