Posti hii inahusu zaidi hatua mbalimbali za Ugonjwa wa Ukimwi, kawaida Ugonjwa huu huwa na hatua kuu nne ila kila hatua huwa na sifa zake kwa hiyo tunapaswa kujua hatua za Ugonjwa huu na kujaribu kuzuia maambukizi yasisambae kabisa.
1. Kadri ya sheria za Shirika la afya duniani limejaribu kuweka Dalili hizi nne kufuatana na Dalili anazozionyesha mtu. Kuna hatua ya kwanza kwenye hatua hii hakuna Dalili yoyote ambayo inaweza kujitokeza , mtu anakuwa kawaida na anafanya shughuli zake za kawaida bila shida yoyote yaani kwa ujumla hawezi kujua mpaka apime ndipo anapoweza kugundua kwamba ana Maambukizi.
2. Hatua ya tatu. Hii nayo ni Dalili ambayo kunakuwepo nadalili fulani kwa mgonjwa mfano uzito kupungua kwa asilimia kumi, mgonjwa anaanza kuwa na ma upele kwenye midomo na kwenye sehemu za siri, kuwepo kwa magonjwa ya mafua ya mara kwa mara na hayaponi na Magonjwa mengi mengi ushambulia mtu kwenye kipindi hiki ,kwa hiyo Mgonjwa baada ya kuona dalili kama hizi anapaswa kuwahi hospitali au sehemu yoyote akapime.
3. Hatua ya tatu ni ile uzito unashuka sana kuliko kawaida na pia mgonjwa anakuwa anaharisha sana, na homa ambazo hazikatiki, yaani homa za mara kwa mara,na kwa kipindi hiki mgonjwa huwa na fungusi za kwenye mdomo, kifua kikuu uwepo kwa mgonjwa, kunakuwepo pia kwa Maambukizi ya bakteria kwa wingi, katika kipindi hiki wagonjwa wengi wanakuwa wamelala kitandani.
4.Hatua ya nne na ya mwisho.
Kwenye hatua hii virusi vinakuwepo kwenye mwili mzima na mtu hudhoofika sana, kunakuwepo na matatizo kwenye Upumuaji, kuharisha kwa wingi, mgonjwa kwa mara nyingine anakuwa amelala kitandani, kwa upande wa mgonwa wanapaswa kumpeleka hospitali ili akapime mapema.
5. Kwa hiyo baada ya kutambua hatua hizi watu wanapaswa kujua Dalili, Ugonjwa unavyosambaa na kuweza kujiwekea msimamo na malengo ya kweli.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
posti hii inazungumzia kuhusiana na Ugonjwa na Ugonjwa unaohusiana na joto ambao hujulikana Kama Anhidrosis ni kutoweza jasho kawaida. Usipotoa jasho mwili wako hauwezi kujipoza, jambo ambalo linaweza kusababisha joto kupita. wakati mwingine inaweza k
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi vyanzo vya magonjwa yanayotokea kwenye sehemu za siri,kwa sababu siku kwa siku kuna magonjwa mengi yanayotokea kwenye sehemu za siri ila kuna vyanzo mbalimbali ambavyo usababisha kuwepo kwa magonjwa kwenye sehemu mbalimbali za siri
Soma Zaidi...Ni ngumu kujuwa vidonda vya tumbo uhakika wake bila ya kupata vipimo. Unajuwa ni kwa nini, ni kwa sababu maumivu ya tumbo ni dalili ya shida nyingi za kiafya kama ujauzito, mimba, typhod, na shida kwenye unfumo wa chakula.
Soma Zaidi...post hii inazungumzia kuhusiana na Ugonjwa wa kifaduro ambao hujulikana Kama Pertussis pia inajulikana kama kifaduro ni maambukizi ya bakteria ambayo huingia kwenye pua yako na koo.
Soma Zaidi...Haya ni maradhi ambayo husambazwa kutoka kwa mtu kwenda kwa mtu kwa kupitia mbu.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi sababu mbalimbali za kuwepo kwa saratani ya ini, saratani hii imekuwa tishio kwa wengi ila ni vizuri kujua baadhi ya sababu ambazo uchangia sana kuwepo kwa tatizo hili la saratani ya inni.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu Tina ya vidonda vya tumbo na dawa zake
Soma Zaidi...Posti hii inahusu namna ya kumsaidia mgonjwa aliyepungukiwa na damu kwa sababu ya minyoo.
Soma Zaidi...Post hii itakwenda kuzungumzia ugonjwa wa gout unaosababishwa na ongezeko la asidi mwilini.
Soma Zaidi...