Posti hii inahusu zaidi aina mbili za kifua kikuu, aina ya kwanza ni ile ya kawaida ambayo ushambulia mapafu na aina ya pili ni ile ambayo ushambulia sehemu mbalimbali za mwili kama vile kwenye limfu node, kwenye sehemu za moyo, kwenye uti wa mgongo, kwen
1. Kwanza kabisa tunapaswa kujua aina ya pili ambayo ushambulia sehemu mbalimbali za mwili, na yenyewe iko kwenye makundi mawili,ambapo kundi la kwanza ni lile ambalo kama Ugonjwa umekaa mda mrefu bila kutibiwa na kundi la pili huwa na sifa mbalimbali na za kawaida ambazo uweza kutibika kwa urahisi kuliko la kwanza.
2. Kwa hiyo kundi la kwanza mgonjwa uwa na matatizo kwenye sehemu ya ubongo ambayo kwa kitaalamu huitwa Tb meningitis ambapo mgonjwa uweza kufikia pabaya hasa kwa upande wa kufikiri pale Ugonjwa kama haujatibiwa mapema.
3. Matatizo kwe uti wa mgongo.
Kwa sababu ni vigumu sana kutambua kwamba Tatizo kwenye uti wa mgongo ni kutokana na kuwepo kwa kifua kikuu hali ambayo Usababisha maumivu ya mda mrefu kwenye uti wa mgongo na pengine watu wanaweza kutumia madawa mengi ya kutibu mgongo bila mafanikio yoyote kwa hiyo kupima ni lazima.
4. Vile vile kuna uwezekano wa kuwepo kwa ma tatizo kwenye via vya uzazi kwa kuwepo kwa maumivu yasiyokuwa na kipimo na mgonjwa anaweza kutumia dawa bila ya kupata nafuu yoyote ila akija kuchukua vipimo na kugundua kwamba ni Tb anaweza kutumia dawa na kupona.
5. Kwa kuwa aina hii ya Tb haijajulikana sana na watu na pia ni vigumu kugundua kwa hiyo ikitokea mtu akapata maumivu au hali isiyoeleweka kwenye sehemu mbalimbali kama vile kwenye via vya uzazi, sehemu za moyo hasa kwenye perikadium, kwenye joint, kwenye tumbo ni lazima kupima vipimo mbalimbali ili kugundua kama ni Tb au ni kitu kingine kwa sababu ni vigumu sana kugundua Tb ya kwenye sehemu mbalimbali kama hizi.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Posti hii inahusu namna ya kumsaidia mgonjwa aliyepungukiwa na damu kwa sababu ya minyoo.
Soma Zaidi...MATIBABU YA VIDONDA VYA TUMBO Matibabu ya vidonda vya tumbo inategemea sababu.
Soma Zaidi...Posti hii inazungumzia kuhusiana na ugonjwa ambao husababisha kuvimba kwa mishipa ya damu katika mwili wako wote. Ambao kitaalamu hujulikana Kama Behcet .
Soma Zaidi...Mawe ya kibofu ni mkusanyiko mgumu wa madini kwenye kibofu chako. Mawe kwenye kibofu hukua wakati mkojo kwenye kibofu chako unapokolea, na kusababisha madini katika mkojo wako kung'aa.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu vyanzo m ali mbali vinavyohisiwa kuwa chanzo cha UKIMWI
Soma Zaidi...Maumivu ya tumbo yanaweza kusababishwa na mambo mengi ikiwemo typhod, vidonda vya tumbo na shida nyingine kwenye mfumo wa chakula.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu fangasi wa sehemu za Siri
Soma Zaidi...Posti hii inaelezea kuhusiana na mambo hatari yanayosababisha ugonjwa wa moyo.
Soma Zaidi...joto la mwili wako linapungua, moyo wako, mfumo wa neva na viungo vingine haviwezi kufanya kazi kwa kawaida. Isipopotibiwa, Hypothermia hatimaye inaweza kusababisha moyo wako na mfumo wa upumuaji kushindwa kabisa na hata kifo.
Soma Zaidi...