Mimba kutoka kabla ya umri wake

Posti hii inahusu zaidi kuhusu kwa mimba kutoka kabla ya mda wake,ni kitendo ambacho mimba utoka kabla ya wiki ishilini na na nane.

Aina za mimba kutoka kwa wakati wake.

1.Kwanza kabisa tunapaswa kuelewa kuwa mimba inaweza kutoka kwa sababu mbalimbali kama vile maambukizi, kutolewa kwa sababu ya kuwepo kwa usalama kwa Mama na pengine kwa sababu za kimakosa kwa sababu watu wengine hawapendi kuzaa kwa sababu zao binafsi.

 

2. Kuna mimba ambayo inatishia kutoka kwa sababu ya kuonyesha dalili zote za kutoka ambazo no pamoja na kutokwa na damu kwenye sehemu za mwili wa mwanamke lakini mlango wa  kizazi unakuwa umefingwa na pia hii inaweza isitoke kwa sababu akipatikana mtu wa kumtunza anaweza kujifungue na mimba isitoke.

 

3.Aina nyingine ya mimba ambapo hata kama Kuna mtu wa kumtunza Mjamzito mimba ni lazima itatoka tu.kwa kitaalamu case  hii inevitable anaemia.

 

4. Kuna aina nyingine ya mimba kutoka ambapo mimba imetoka na Kuna baadhi ya vitu kama vile uchafu kubaki kwenye tumbo la uzazi na vinapaswa kutolewa Ili kuweza kuondoa uchafu huo kusudi usilelete shida yoyote 

 

5. Aina nyingine ya mimba kutoka , ni pale ambapo mimba inatoka na uchafu wake wote unatolewa nje ya tumbo la uzazi.

 

6.Aina nyingine ya me mimba ni Ile ambaye uleta maambukizi kwa sababu ya vifaa vilivyotumika kutokana na vifaa vinavyotumika .

 

7. Kwa hiyo baada ya kujua aina mbalimbali za mimba kutoka Ili kuweza kujua kuwa mimba ipo au imeshatoka kwa hio tunapaswa kuwakemea wote wanaojaribu kutoa mimba kwa kutumia dawa za miti shamba na baadae kuleta maambukizi, kwa hiyo wanapaswa kuwasiliana na wataalamu wa afya kwa maelekezo zaidi

 Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2022/04/10/Sunday - 10:54:43 pm     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 1238


Download our Apps
👉1 kitabu cha Simulizi     👉2 Madrasa kiganjani     👉3 Kitau cha Fiqh     👉4 Kitabu cha Afya    

Post zifazofanana:-