Posti hii inahusu zaidi njia ambazo mtu anapaswa kutumia ili kuweza kupunguza tatizo hili kisiweze kutokea na pia kama jamii ikishirikiana kwa pamoja tunaweza kuepusha kwa kufanya yafuatayo.
Njia za kufanya ili kuweza kuepuka tatizo la kutokwa na majimaji kwenye sehemu za siri.
1.Kwanza kabisa dalili yake kuu inaweza kujitokeza kwa sababu mtu akiona maji maji yanatoka anakuwa ameshafahamu kwa hiyo kitu cha kwanza ni kutambua Dalili na hatimaye kuifanyia kazi.
2. Vile vile chanzo kitu ni magonjwa ya zinaa tunapaswa kuwa waaminifu kwenye ndoa kwa walio tayari na ndoa zao pia kwa vijana na wanaopenda kujamiiana daima epukana na ngono zembe labda kama mtu umempima ndio unaweza kuniambia kwa sababu siku hizi Magonjwa ya zinaa ni mengi na yanaleta madhara kama vile kansa ya vizazi na ugumba hasa hasa kama hayatatibiwa mapema.
3.Tunashauliwa kutumia dawa pale unapogundua juwa kuna Magonjwa ya zinaa na ni lazima kutumia dawa kwa wapenzi wote ili kuepuka kusambaa kwa ugonjwa kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine na kuendelea kuleta madhara zaidi.
4. Pia tunapaswa kwenda kuangalia afya zetu mara kwa mara ili kuweza kuepuka kuendelea kuwepo kwa Maambukizi mapya kwa kila siku kwa kutumia tabia hii ya kuangalia afya tutaweza kuokoa wengi na kupunguza Athari zitokanazo na Ugonjwa huu.
5.Vile vile jamii nzima inapaswa kupewa elimu kuhy kuwepo kwa Maambukizi kwenye sehemu za siri na kujua cha kufanya baada ya kuona dalili hizi kwa sababu kuna wengine wakiona wanaficha ili kuweza kutopata aibu kwa hiyo elimu ni ya lazima kwa jamii.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Somo hili linakwenda kukueleza baadhi ya sifa za siku za kupata mimba
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi sababu za mwanamke kukosa tendo la ndoa, ni sababu ambazo uwakuta wanawake wengi unakuta mama yuko kwenye ndoa ila hana hata hamu ya lile tendo la ndoa hali ambayo umfanya mwanamke kuona kitendo cha tendo la ndoa ni unyanyasaji au
Soma Zaidi...Hapa utajifunza siku nzuri kushoriki tendo la ndoa kupata ujauzito, dalili za siku hiyo na kuitafuta kwa mahesabu
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukuletea njia za asili walizotumia zamani katika kupima ujauzito
Soma Zaidi...Tofauti na mambo matano yaliyotajwa hapo juu kuwa yanapelekea ujauzito kutoka, kuna mambo mengine ambayo yanaweza kuuweka ujauzito kuwa hatarini.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi dalili ambazo zinaweza kutokea kwa sababu ya kuziba kwa mishipa ya uzazi, ni baadhi ya dalili ambazo ujitokeza kwa sababu ya kuwepo kwa tatizo la kuziba kwa mishipa ya uzazi.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi kuvunjika kwa mtoto wakati wa kuzaliwa, hali hii utokea kwa watoto wadogo wakati wa kuzaliwa kwa sababu maalum kama tutakavyoona.
Soma Zaidi...KUVIMBA VYA MIGUU KWA WAJAWAZITO Kuvimba kwa miguu ni hali inayowapara wengi katika wajawazito.
Soma Zaidi...