Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula chungwa na chenza (tangarine)
Faida za Chungwa na Chenza (tangarine)
1. ni chanzo kizuri cha vitamini C
2. Huboresha mfumo wa kinga mwilini
3. Huzuia uharibifu wa ngozi
4. Huboresha presha ya damu
5. Hususha cholesterol mbaya
6. Husaidia kudhibiti kiwango cha sukari
7. Hupunguza hatari ya kupata saratani
8. Husaidia kuboresha afya ya macho
9. Huzuia tatizo la kufunga kwa choo
?
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kutumia tangawizi
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula fyulisi/peach
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula kisamvu
Soma Zaidi...Je umesha wahi kujiuliza kuwa ni vinywaji vipi mwenye presha ya kupanda anafaha kutumia, Unadhani ni maji, mvinyo wa pombe, chai na kahawa. Bila shaka ungependa kujuwa zaidi kuhusu jambo hili. Makala hii ni kwa ajili yako
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi faida kuhusu uyoga mwekundu ni uyoga unaopatikana katika sehemu mbalimbali na pia kuna waliofanikiwa kupandikiza na kuweza kuvuna ila uyoga huu una siri mbalimbali kama tutakavyoona.
Soma Zaidi...