Posti hii inahusu zaidi Ugonjwa wa ukoma ni Ugonjwa unaosababishwa na bacteria anayejulika kama mycobacterium leprae.
1. Kwanza kabisa tunapaswa kufahamu kwamba Ugonjwa huu unaweza kusambaa kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine kwa kugusana na mtu mwingine au kwa hewa kwa hiyo ni vizuri kuepuka kugusana na watu wenye ukoma na pia kuepukana kugusana na watu wenye ukoma bila sababu na tuwe na tahadhari wakati wa kugusana nao.
2. Kuna Dalili mbalimbali ambazo zinaweza kujitokeza kwa mtu mwenye Ugonjwa wa ukoma kama vile Neva za mwili kushindwa kufanya kazi hali ambayo Usababisha hata vidole vya mikono au miguu kudondoka bila mgonjwa mwenyewe kuwa na taarifa kwa hiyo hali hii upelekea wagonjwa kujitenga na jamii wakijiona kama wana mapungufu na sio kama watu wengine.
3. Pia mgonjwa anahisi mwili wake unawaka moto hasa hasa kwenye sehemu za Maambukizi kwa hiyo mgonjwa uhisi kuwa na hali ya kutotulia kwa sababu ya hali anayoisikia.
4. Kutohisi maumivu kwenye sehemu yenye Maambukizi kwa kuwa hakuna mawasiliano kwenye mwili wa mgonjwa hata sehemu zinazokatika Maumivu yanakuwa hayapo
5. Kutokuwepo kwa maumivu kwenye vidonda,tunaelewa kwamba kama kuna vidonda kwenye sehemu ya mgonjwa mara nyingi Maumivu huwa hayapo hali ambayo uwafanya wagonjwa kutoona umuhimu wa kutibu tatizo lao kwa sababu hata kwenye vidonda hakuna maumivu kwa hiyo vidonda uongezeka hali inayopelekea kuongezeka kwa Maambukizi.
6.Kwa hiyo ni vizuri kabisa kuwapeleka wagonjwa wa ukoma hospitalini ili wapate dawa kwa sababu kuna dawa ambazo utibu huu Ugonjwa na wengi wamepona kwa hiyo ni vizuri kabisa kuwahi matibabu mapema maana kadri unavyowahi na matibabu huwa ya kawaida.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Post hii inahusu zaidi upungufu wa damu unaosababishwa na minyoo dalili zake na namna ya kumsaidia mgonjwa mwenye tatizo hilo.
Soma Zaidi...Ini Ni kiungo kikubwa Sana mwili na hutumika kuondoa sumu mwili ambayo hujulikana Kama detoxification
Soma Zaidi...Post hii inaelezea kuhusiana naรย Sarataniรย ya tishu zinazounda damu mwilini, ikijumuisha uboho na mfumo wa limfu.ugonjwa huu kitaalamu huitwa leukemia.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi dalili za Maambukizi kwenye mifupa, ni dalili ambazo ukionyesha kwa mtu mwenye Maambukizi kwenye mifupa.
Soma Zaidi...Posti hii inazungumzia kuhusiana na sababu zinazopelekea kukosa choo ,yaani kinyesi kuwa kigumu au kukosa kabisa choo.
Soma Zaidi...Saratani ya kibofu cha nyongo ni Saratani inayoanzia kwenye kibofu cha nyongo. Nyongo yako ni kiungo kidogo, chenye umbo la peari upande wa kulia wa tumbo lako, chini ya ini lako. Kibofu cha nyongo huhifadhi nyongo, Kioevu cha usaga
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu njia za kupambana na kisukari
Soma Zaidi...VYNZO VYA MINYOO Kama tulivyoona hapo mwanzo kuusu aina za minyoo, pia tumeona vyanzo vya minyoo hao kulingana na aina zao.
Soma Zaidi...