Matumizi ya dawa ya vidonda vya tumbo

Posti hii inahusu zaidi matumizi ya dawa za vidonda vya tumbo, ili kuweza kutumia dawa hizi ni vizuri kabisa kufuata mashariti kama ifuatavyo.

Matumizi ya dawa za vidonda vya tumbo.

1. Kama tulivyotangulia kusema kwamba unachukua mdalasini, majani ya mlonge,mjafari na kitunguu swaumu kila kitu gram mia moja.

 

 

2. Kwanza unachukua unachanganya unatwanga na kuchanganya kwa pamoja.

 

 

 

3. Chukua mchanganyiko huo nusu kijiko weka ndani ya nusu lita huo mchanganyiko.

 

 

 

4.Gawanya hizo nusu mara mbili kila sehemu chukua Robo  kwa roho kwa kila sehemu iliyogawanywa mara mbili.

 

 

 

5  chukua hizo robo kunywa kutwa mara mbili mpaka dawa hizo ziishe na hakikisha hukatishi dawa yoyote.

 

 

 

6. Kula dawa hizo bila kuacha kwa sababu ukiacha itasababisha tatizo liendelee kuwepo.

 

 

 

7. Kwa kawaida ukiwa unaendelea na hiyo tiba zingatia tabia ya kula kwa wakati ili kuweza kuzuia hali ya kuendelea kuwepo kwa madonda ya tumbo.

 

 

 

8. Pamoja na kuwepo kwa tatizo epuka matumizi ya vyakula kama vile maharage, viporo, vinywaji vyenye gesi, matumizi ya chumvi nyingi, vyakula vya mafuta mengi na vya kukaanga.

 

 

 

 

9. Vile vile jaribu kutumia vyakula ambavyo haviongezi acids mwilini kama vile maziwa na unywaji mzuri wa maji pia epuka sana vyakula vya kuongeza asidi mwilini kama vile machungwa na limao.

 

 

 

10. Kwa hiyo ni vizuri kufuata mashariti yote ya mtu mwenye vidonda ili kuepuka kuwepo kwa madhara zaidi.

 

 Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2022/07/16/Saturday - 02:50:43 pm     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 1489


Download our Apps
👉1 Madrasa kiganjani     👉2 Kitabu cha Afya     👉3 kitabu cha Simulizi     👉4 Kitau cha Fiqh    

Post zifazofanana:-