Katika somo ili utakwenda kujifunz ahatuwa kwa hatuwa jinsi ya kutengeneza json data kutkana na data ambazo zio kwenye database
Jinsi ya ku encode data kwenye databasekuwa JSON.
Hapa tutapitia hatuwa kwa hatuwa jinsi ya kuweza kuzi encode data zilizo kwenye database kuwa JSON.
Kwanza tutaanza kutengeneza database ambayo tutaiita employees, Kisha titatengeneza table na kuweka data. Tumia code zifuatazo za SQL kuweza kurahisisha mchakato huu
CREATE TABLE `employees` (
`id` int(11) NOT NULL,
`name` varchar(100) NOT NULL,
`position` varchar(100) DEFAULT NULL,
`salary` decimal(10,2) DEFAULT NULL
) ENGINE=InnoDB DEFAULT CHARSET=utf8mb4 COLLATE=utf8mb4_general_ci;
INSERT INTO `employees` (`id`, `name`, `position`, `salary`) VALUES
(1, 'John Doe', 'Software Engineer', 75000.00),
(2, 'Jane Smith', 'Project Manager', 85000.00),
(3, 'Alice Johnson', 'UX Designer', 70000.00),
(4, 'Bob Brown', 'DevOps Engineer', 80000.00);
ALTER TABLE `employees`
ADD PRIMARY KEY (`id`);
ALTER TABLE `employees`
MODIFY `id` int(11) NOT NULL AUTO_INCREMENT, AUTO_INCREMENT=5;
COMMIT;
Baada ya kuandaa database yetu hatuwa inayofuata ni ku connect na kusoma data. Sasa hapa nitaanza kusoma hiszo data zetu kawaida kama tulivyo zoea.
<?php
$servername = 'localhost';
$username = 'root';
$password = '';
$dbname = 'jsonDb';
// Create connection
$conn = new mysqli($servername, $username, $password, $dbname);
// Check connection
if ($conn->connect_error) {
die('Connection failed: ' . $conn->connect_error);
}
echo 'Connection successful.<br>';
$sql = 'SELECT * FROM employees';
$result = $conn->query($sql);
$employees = array();
if ($result->num_rows > 0) {
while ($row = $result->fetch_assoc()) {
echo "name ".$row["name"]." Position ".$row["position"]. " Salary ".$row["salary"]."<br>";
}
}
Sasa hatuwa inaofuata ni kutengeneza json data kutoka kwenye data zetu. Tutatuma fetch_assoc() ili kusoma data kama array. Kutokana na data ambazo tumezipata hapo juu sasa tunataka kutengeneza array data. Ilikutengeneza array tutatumia function ya array()
Mfano:
$employees = array();
Wakati wa ku fetch data tutatumia mabano kutambulisha kuwa variable inahitaji array
Mfano
$employees[] = $row;
Hii hapa itatengeneza array data kutoka kwenye database.baada ya hapo tuta encode data kwa ajili ya kuzifanya ziwe json.
Mfano:
<?php
$servername = 'localhost';
$username = 'root';
$password = '';
$dbname = 'jsonDb';
// Create connection
$conn = new mysqli($servername, $username, $password, $dbname);
// Check connection
if ($conn->connect_error) {
die('Connection failed');
}
$sql = 'SELECT * FROM employees';
$result = $conn->query($sql);
$employees = array();
if ($result->num_rows > 0) {
while ($row = $result->fetch_assoc()) {
// Collect each row's data in an array
$employees[] = $row;
}
} else {
...
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Katika somo hili uttakwend akujifunz ajinsi ambavyo utaweza kutengeneza simple ORM yakwako mwenyewe
Soma Zaidi...hapa utawenda utuma database wa ajl ya utengeneza maudhu ya PDF.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jisniya kutuma email kwa kutumia PHPMailer kwenye project ya PHP. Katika somo hili tutakwend akutuma email kwa kutumia localhost.
Soma Zaidi...Katika ukurasa huu utakwenda kujifunz jinsi ya kuandika code za php kwa ajili ya kutuma post yetu kwenye blog.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu aina za loop DO, FOR, FOREACH LOOPS kwenye PHP
Soma Zaidi...Katika somo hili utajifunza jinsi ya kuandika while loop kwenye PHP
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza Jinsi ya kutumia ORM kwa kutumia library ya RedBeanPHP
Soma Zaidi...Katika somo hilibutajifunza maana ya cURL pamoja na matumini yake
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya ku upload mafaili kwenye server kwa kutumia PHP
Soma Zaidi...Katika somo hili uatakwenda kujifunza jinsi ya kutumia htaccess ili kubadili muonekano wa link ya website ama blog ili kuifanya iwe rafiki zaidi.
Soma Zaidi...