Posti hii inahusu zaidi ugonjwa wa pre- eclampsia ni Ugonjwa ambao uwapata wanawake wajawazito uwapata pale mimba inapofikisha umri wa wiki ishilini, utokea pale ambapo Mama mjamzito huwa na kiwango kikubwa cha shinikizo la damu na pia kuwepo kwa protini
1.Kama tulivyoona hapo juu kwamba Ugonjwa huu usababishwa na kuwepo kwa shinikizo la damu pamoja na protini kwenye mkojo,kwa hiyo tunapaswa kufahamu kwamba Mama kabla hajabeba mimba anakuwa hana tatizo hili lakini akibeba mimba ndipo mabadiliko utokea kwa mjamzito kwa hiyo Mama mwenye Tatizo hili anapaswa kuangaliwa kwa karibu zaidi ili aweze kufikia wakati wa kujifungua kwa usalama, na walio wengi wakijifungua matatizo ya aina hii uisha kabisa.
2.Kwa hiyo kuna aina mbili ya ugonjwa huu wa eclampsia, kuna eclampsia ya kawaida na isiyo ya kawaida, tunaweza kuzitambua kwa kutumia vipimo vya shinikizo la damu na kuipima kiwango cha protini kwenye mkojo.
3. Pre - eclampsia ya kawaida utokea kwa kupima presha ya chini ambayo kwa kitaalamu huitwa dystolic presha, kwa kawaida presha ya chini ya kawaida inapaswa kuanzia sitini mpaka tisini, ila kwa mgonjwa wa pre-eclampsia presha ya chini uanzia tisini na haizidi mia na kumi, na pia kiwango cha protini kwenye mkojo ufika 2+ kwa hiyo aina hizi kwa mgonjwa uweza kuonekana za kawaida ila mama anapaswa kutunzwa kwa uangalizi zaidi.
4. Aina ya pili ya pre-eclampsia. Nia pale ambapo shinikizo la damu yaani presha ya juu na chini huwa juu, ambapo presha ya chini uanzia mia na kumi na ya juu ufika mia sitini na kuendelea, tunajua wazi kuwa presha ya juu uanzia mia ishirini na kuisha mua arobaini ikizidi hapo sio ya kawaida, kwa hiyo Mama wa hivi anapaswa kuwa na uangalizi wa karibu kutoka kwa wahudumu wa afya ili aweze kuepuka kuwepo kwa kifafa cha Mimba.
5.Kwa hiyo baada ya kujua hayo tunapaswa kuwahi kwenda kliniki mara tu ugunduapo uko mja mzito kwa sababu ya kuchukua vipimo mbalimbali ili kuweza kuokoa Maisha ya Mama na mtoto, na jamii inapaswa kuepukana mila na destory zinazoweza kufanya tatizo likawa kubwa kwa sababu ya kwenda kwa waganga na kusababisha madhara yasiyo tarajiwa.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Posti hii inaelezea sababu zinazosababisha mkojo kuwa na damu.
Soma Zaidi...posti hii inazungumzia kuhusiana na Upotevu wa kusikia unaotokea hatua kwa hatua kadri umri unavyozeeka (presbycusis) ni jambo la kawaida. T Kwa wale walio na umri wa zaidi ya miaka 75, idadi ya watu walio na upotezaji wa kusikia inakaribia 1 kati y
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunz akuhusu ugonjwa wa Bawasiri na dalili zake. Pia utajifunza njia za kujilinda nao.
Soma Zaidi...Mbu ni katika wadudu ambao husababisja vifo vya maelfu kila mwaka, na mamilioni ya watu wanaathirika na maradhi yaletwayo na mbu.
Soma Zaidi...Somk hili linakwenda kukueleza kuhusu Mambo mbalimbali yahusuyo HIV na UKIMWI
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi Aina za kansa, Kansa ni Aina ya ugonjwa unaosababishwa na kuzaliana kwa seli ambazo sio za kawaida.
Soma Zaidi...Post hii inahusu dalili za mtu Mwenye ugonjwa wa kisukari, dalili hizi zinaweza kujitokeza Moja kwa Moja mtu akagundua kuwa ana Ugonjwa wa kisukari.zifuatazo ni dalili za ugonjwa wa kisukari.
Soma Zaidi...Posti hii inazungumzia kuhusiana na dalili za maambukizi ya sikio kwa watoto.
Soma Zaidi...