Posti hii inahusu zaidi sababu za maumivu ambayo yanasikika kwenye magoti, huu ni ugonjwa ambao umewapata walio wengi na bado ni kilio kwa walio wengi kwa vijana na kwa wazee, Kuna wataalamu mbalimbali ambao wameweza kugundua sababu za maumivu kwenye mago
1. Kuwepo kwa uzito mkubwa.
Uzito kwa kawaida inabidi kulingana na urefu ila uzito ukiwa mkubwa usababisha magoti kuelemewa kwa sababu ya Uzito kuwa mkubwa na kuanza tatizo la kuwepo kwa magonjwa ya goti.
2. Kuumia kwenye viungo.
Kuna wakati mwingine kunakuwepo na maumivu kwenye viungo ambayo uambatana na kuumia kwa magoti, kuumia kwa viungo inaweza kuwa ni ajali mbalimbali ambazo usababisha maumivu kwenye magoti.
3. Kuvimba kwa magoti.
Kuna wakati mwingine magoti yanavimba yenyewe bila kuwepo kwa ajali au unene hii utokea kwa sababu ya kuwepo kwa maambukizi kwenye magoti kwa hiyo maambukizi hayo usababisha magoti kuwa na maumivu kwa sababu ya kuwepo kwa maambukizi.
4. Pengine maumivu ya magoti ni kwa sababu ya kuridhi.
Kuna magonjwa mengine utokea kwa sababu ya kuridhi ikitokea kwenye family Kuna ugonjwa wa hivi utaikuta familia Kuna watoto chini ya miaka arobaini wanaanza kuugua ugonjwa wa magoti.
5. Mazoezi makali.
Kuna wakati mwingine wale wanaofanya mazoezi makali usababisha kutenguka kwa viungo hasa hasa kwenye magoti pengine magoti yanaweza kupona mapema na wengine uchukua mda huu mrefu kupona .
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Posti inahusu zaidi madhara ya kaswende kwa mama mjamzito na mtoto, Ni ugonjwa unaopatikana hasa kwa njia ya kujamiiana na utoka kwa mwenye Ugonjwa kwenda kwa mtu ambaye hana ugonjwa, kwa hiyo tunapaswa kujua madhara ya ugonjwa huu kwa mama mjamzito na mt
Soma Zaidi...Tonsillitis kwa kiswahili hujulikana kama mafundomafundo ambayo hutokea pande mbili karibu na Koo na huwa na uvimbe na zikikaa kwa muda bila matibabu hutoa usaha.Dalili na dalili za ugonjwa wa tonsillitis ni pamoja na
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu namna ya kuishi na vidonda vya tumbo
Soma Zaidi...Kuona damu kwenye mkojo kunaweza kusababisha wasiwasi. Ingawa katika hali nyingi kuna sababu zisizofaa, Damu kwenye mkojo (hematuria) pia inaweza kuonyesha ugonjwa mbaya.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi umuhimu wa usafi katika maisha ya mwanadamu au mwili wa binadamu.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi dalili za fangasi uken, hizi ni baadhi ya dalili ambazo ujitokeza kwa mtu Mwenye tatizo la fangasi uken.
Soma Zaidi...Makala hii inakwenda kukupa majibu ya maswali mengi kuhusu VVU na UKIMWI. tutakwenda kuona kwa ufupi historian a chanzo cha VVU na UKIMWI. hatuwa za maambukizi ya VVU na ukimwi na dalili zake za kuonekana toka kupata maambukizi. Pia hapa utajifunza namna
Soma Zaidi...Post hii inakwenda kukutajia baadhi tu ya sababu zinazopelekea kuumwa na tumbo. Hali hizi zinawweza kuwapata watu wa jinsia zote katika umri wowote ule. Ijapokuwa nyingine si kwa wote ni kwa baadhi ya watu. hapa nitakuletea sababu 5 tu.
Soma Zaidi...