picha
VIFAA VYA KUTUMIA WAKATI WA KUSAFISHA VIDONDA.

Posti hii inahusu zaidi vifaa vya kutumia wakati wa kusafisha vidonda, ni vifaa muhimu ambavyo mara nyingi kutwa hospitalini.

picha
AINA ZA VIDONDA.

Posti hii inahusu zaidi aina kuu za vidonda,kuna aina kuu tatu za vidonda ambapo kila aina utumiwa kwa njia yake...

picha
FAIDA ZA KUSAFISHA VIDONDA.

Posti hii inahusu zaidi faida za kusafisha vidonda, ni faida ambazo Mgonjwa mwenye vidonge uzipata kama ifuatavyo.

picha
NAMNA YA KUMLISHA MGONJWA AMBAYE HAWEZI KUJILISHA MWENYEWE NI

Posti hii inahusu njia za kumlisha Mgonjwa ambaye hawezi kujilisha wenyewe, hali hii uwa inawapata wagonjwa wale ambao hawawezi kujilisha...

picha
SABABU ZA KUMWOSHA MGONJWA MWILI MZIMA.

Posti hii inahusu zaidi sababu za kumwosha Mgonjwa mwili mzima,ni sababu ambazo umsaidie mgonjwa ili aweze kupata nafuu mapema na...

picha
NAMNA YA KUMFANYIA USAFI MGONJWA KWA MWILI MZIMA.

Posti hii inahusu namna ya kumfanyia mgonjwa usafi mwili mzima, ni njia ambazo utumika kumfanyia mgonjwa usafi mwili mzima au...

picha
MALENGO YA KUMSAFISHA MGONJWA NYWELE.

Posti hii inahusu zaidi malengo ya kumsafisha mgonjwa nywele zake, ni sababu ambazo upelekea kumsafisha mgonjwa nywele kama tutakavyoona hapo...

picha
NAMNA YA KUTUNZA NYWELE ZA MGONJWA

Posti hii inahusu zaidi namna ya kutunza nywele za mgonjwa hasa kwa wagonjwa mahututi na wale wasiojiweza tunafanya hivyo ili...

picha
SABABU ZA KUMSAFISHA MGONJWA KINYWA

Posti hii inahusu zaidi sababu za kumsafisha mgonjwa kinywa, Mgonjwa akiwa anaumwa na pia anakula chakula ni lazima asafishwe kinywa...

picha
NAMNA YA KUMSAFISHA MGONJWA KINYWA

Posti hii inahusu namna ya kumsafisha mgonjwa kinywa,ni njia unazopaswa kufuata wakati unamsafisha mgonjwa kinywa hasa wale walio mahututi.

picha
NAMNA YA KUFANYA USAFI WA SIKIO

Post hii inahusu zaidi namna ya kufanya usafi wa sikio, sikio ni mojawapo ya ogani ambayo usaidia kusikia,kwa hiyo sikio...

picha
NAMNA YA KUZUIA MAAMBUKIZI KWENYE TUMBO NA UTUMBO MDOGO

Posti hii inahusu zaidi namna ya kuzuia maambukizi kwenye tumbo na utumbo mdogo, hizi ni njia ambazo zinapaswa kufuatwa ili...

picha
MADHARA YA KUTOTIBU MAAMBUKIZI KWENYE TUMBO NA UTUMBO MDOGO

Posti hii inahusu zaidi madhara ya kutotibu Maambukizi kwenye tumbo na utumbo mdogo, ni madhara ambayo yanaweza kutokea iwapo maambukizi...

picha
SABABU ZA KUONGEZEKA UZITO WA WAJAWAZITO.

Posti hii inahusu zaidi sababu za kuongezeka uzito kwa wajawazito, Mara nyingi Mama akibeba mimba uongezeka uzito kutoka wiki ya...

picha
MABADILIKO KWENYE MFUMO WA CHAKULA KWA WAJAWAZITO.

Posti hii inahusu zaidi mabadiliko kwenye mfumo wa chakula kwa wajawazito, ni mabadiliko ambayo utokea kwa wajawazito hasa kwenye mfumo...

picha
MABADILIKO YA MZUNGUKO WA DAMU KWA WAJAWAZITO.

Posti hii inahusu zaidi mabadiliko ya mzunguko wa damu kwa wajawazito, tunajua wazi kuwa wajawazito pindi ujauzito ukiingia tu, kila...

picha
MABADILIKO YA VIA VYA UZAZI KWA MAMA MJAMZITO.

Posti hii inahusu zaidi mabadiliko kwenye via vya uzazi kwa wajawazito, tunajua kuwa Mama akibeba mimba tu kuna mabadiliko utokea...

picha
DONDOO MUHIMU YA KI AFYA.

Posti hii inahusu zaidi maelekezo muhimu ya ki afya, ni maelekezo ambayo utolewa ili kuweza kuzifanya afya zetu ziwe bora...

picha
TUFANYEJE ILI KUEPUKA KUARIBIKA KWA FIGO?

Posti hii inahusu zaidi njia za kuzuia kuaribika kwa figo, hizi ni njia zinazotumika ili kuweza kupunguza tatizo la kuaribika...

picha
SABABU ZINAZOWEZA KUMFANYA FIGO KUHARIBIKA.

Posti hii inahusu zaidi sababu za kufanya figo kuharibika.hili ni janga ambalo linawakumba Watu wengi siku hizi na kusababisha kupoteza...

picha
HUDUMA KWA WENYE MAAMBUKIZI KWENYE TUMBO NA UTUMBO MDOGO

Posti hii inahusu zaidi namna ya kuwasaidia Watu wale ambao wana Maambukizi kwenye tumbo na utumbo mdogo.

picha
MAAMBUKIZI KWENYE TUMBO NA UTUMBO MDOGO.

Posti hii inahusu Maambukizi kwenye tumbo na kwenye utumbo mdogo,ni Maambukizi ambayo uwa kwenye tumbo na utumbo mdogo.

picha
IMANI POTOFU KUHUSU MADAWA YA HOSPITALINI

Post hii inahusu zaidi imani potofu kuhusu madawa yanayotolewa hospitalini, ni imani waliyonayo Watu hasa Watu wa bi vijijini na...

picha
UKWELI KUHUSU NJIA ZA UZAZI WA MPANGO.

Posti hii inahusu zaidi ukweli kuhusu njia za uzazi wa mpango, sio kwa imani potofu ambazo Watu utumia kuelezea uzazi...

Page 165 of 229

Kuhusu Bongoclass

image

Bongoclass ni jukwaa la Kitanzania lenye lengo la kushirikisha maarifa na akili ili kukuza uwezo wa watu binafsi na jamii kwa ujumla. Kupitia tovuti yetu, programu ya simu, na mitandao ya kijamii, Bongoclass hutoa maudhui ya elimu bure kwa Kiswahili katika maeneo mbalimbali kama afya, burudani, na masomo ya shule. Jukwaa hili linajikita katika kutoa fursa za kujifunza, kushirikiana, na kukuza uchumi kwa kuzingatia muktadha wa kitamaduni na lugha ya Kiswahili.