Posti hii inahusu zaidi sababu za kuongezeka uzito kwa wajawazito, Mara nyingi Mama akibeba mimba uongezeka uzito kutoka wiki ya Kwanza mpaka wiki ya mwisho ya kujifungua.
Sababu za kuongezeka uzito kwa wajawazito.
1.Tunajua wazi kuwa kadri Mimba inavyoendelea kukua na uzito wa Mama uongezeka kuna vitu au mambo yanayofanya vitu hivyo viweze kuongeza kwa Mama kwa sababu ili kuongezeka uzito tunapaswa kujua wazi ni kitu gani kinachofanya uzito kuongezeka.
2.Katika wiki za mwanzo yaani wiki ishirini mama uongeza uzito wa kilo tatu na nukta tano (3.5)kg na kwenye wiki nyingine za mwisho pia Mama uongeza kilo tisa kwa ujumla kilo ambazo uongezeka kwa Mama ni kilo kumi na mbili na nukta tano kwa hiyo Mama akijifungua kilo hizi upungua.
3.Mambo yanayoongeza Uzito ni pamoja na matiti uongezeka kilo sufuri nukta nne Adipose tishu uongezeka kilo mbili na nukta tano, kondo la nyuma uongeza sifuri nukta sita, mtoto mwenyewe uongeza kilo tatu na nukta mbili,Amniotic fluid uongeza kilo sifuri na nukta nane, mfuko wa uzazi uongeza kilo sifuri na nukta tisa, damu uongezeka kilo moja na nukta tano, na maji maji mengine uongeza kilo mbili na nukta sita hizo zote ukizijumlsha zinakuletea kumi na mbili na nukta tano.
4.Kwa hiyo Mama akiwa na mimba anahitaji uangalizi wa karibu zaidi ili aweze kujifungua salama kwa sababu tunaona wazi mzigo alioubeba ni mkubwa mno na kwa hiyo mama akiwa na mimba anapaswa kuongeza uzito na sio kupunguza uzito kwa watakao punguza uzito wanapaswa kuwekwa kwenye uangalizi wa karibu ili wapate maelezo kutoka kwa wataalamu wa afya
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Posti hii inahusu zaidi dalili za hatari kwa mama mjamzito, kwa sababu kuna baadhi ya Dalili zikitokea kwa mama mjamzito ni vizuri kabisa kuwahi hospitali mara moja.
Soma Zaidi...Vyakula hivi hapasi kuvila mwanamke mwenye ujauzito kwa kiasi kikubwa, hasa yule mwenye mimba chaga
Soma Zaidi...Posti hii inaelezea kuhusiana na nguvu za kiume zinavyopungua na Ni Mambo gani yanayofanya zipungue
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi umuhimu wa kumpeleka mtoto kliniki, kliniki nisehemu ambayo mtoto hupelekwa Ili kujua maendeleo ya mtoto akiwa chini ya umri wa miaka mitano
Soma Zaidi...Nini humaanisha kama chuchu zinauma na hupati period mwanaidi mrefu.
Soma Zaidi...Miongoni mwa matunda yenye virutubisho vingi ni pamoja na papai, nanasi, tikiti, palachichi, pera, karoti, hindi na boga. Lakini katika matunda haya yapo ambayo kwa mimba changa anatakiwa awe makini, kama papai na nanasi. Sasa vipi kuhusu mimba ya
Soma Zaidi...Posti hii inaelezea namna mwanamke anavyoweza kupata Ugonjwa wa Maambukizi ya mfumo wa Uzazi.
Soma Zaidi...Unaweza kupitiliza siku zako za hedhi kwa sababu nyingi. Post hii itakueleza ni kwa nini umechelewa kupata siku zako.
Soma Zaidi...