Somo hili litakwenda kukufundisha hatuwa kwa hatuwa jinsi ya kufunguwa blog kwenye mtandao wa blogger.
JINSI YA KUTENGENEZA BLOG KWA KUTUMIA BLOGGER:
Post hii inakwenda kukufundisha jinsi ya kutengeneza blog yako mwenyewe kwa kutumia mtandao wa blogger. Haya ni maelekezo mafupi ambayo yanatumia dakika zisizozidi 10 mpaka kukamilisha kuwa na blog yako.
Vigezo:
Kama upo tayari kuanza kufunguwa blog yako. Fuata maelekezo yafuatayo.
Kama huja log in upande wa kulia wa ukurasa huu kwa juu kuna sehemu imeandikwa sign in utabofya hapo ili kulogin kwa email ya gmail. Kwa juu katikati chuka chini kidogo kuna batani imeandikwa create your blog bofya hapo. Angalia picha hapo chini. Kama hujalogin utaendelea ku login ama kama tayai utapelekwa ukurasa mwingine.
Baada ya hapo ukurasa mwingine utafunguka. Huo utakuhitaji kuweka anuani ya blog yaani address ama url. Hii ni link ambayo blog yako itapatikana. Hapo utajaribu maneno kadhaa ambayo yanaendana na jina la blog yako. Kama hamuna blog ambayo ina url sawa na hiyo unayoweka itakubaliwa, ila kama imeshatumika itakataliwa.
Anjani yako ifuate sheria hizi:-
Je! umeipenda hii post?
Ndio Hapana Save post
Rajabu Tarehe 2024-05-10 14:53:23 Topic: blogger Main: Masomo File: Download PDF Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 1586
Sponsored links
👉1 kitabu cha Simulizi
👉2 Kitau cha Fiqh
👉3 Simulizi za Hadithi Audio
👉4 Kitabu cha Afya
👉5 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)
👉6 Madrasa kiganjani
Blogger somo la 1: Jinsi ya kutengeneza Blog
Somo hili litakwenda kukufundisha hatuwa kwa hatuwa jinsi ya kufunguwa blog kwenye mtandao wa blogger. Soma Zaidi...
BLOGGER somo la 2: Jinsi ya kuandika post na kuiboresha pamoja na kuidhibiti
Katika post hii utakwend akujifunza jinsi ya kuandika post, kuisimamia na kuoboresha. Soma Zaidi...
BLOGGER somo la 3: Jinsi ya kuifanya Blog yako iweze kuonekana Google kwa urahisi
Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kuifanya blog yako iweze kuoneka Google kwa urahisi Soma Zaidi...