Sababu zinazoweza kumfanya figo kuharibika.
Posti hii inahusu zaidi sababu za kufanya figo kuharibika.hili ni janga ambalo linawakumba Watu wengi siku hizi na kusababisha kupoteza maisha kwa wagonjwa wa figo hasa hasa kwa wale ambao hawana uwezo wa kulipia hela ya kusafishia figo.
Sababu za kuharibika kwa figo.
1. Kuchelewa kwenda haja.
Mtu anapohisi mkojo na akautunza bakteria uanza kuhama kutoka kwenye kibofu cha mkojo na kuanza mashambulizi kwenye figo kwa hiyo pindi tusikiapo mkojo nenda ukakojoe.
2.Kula chumvi kupita kiasi.
Pia hili nalo ni tatizo ambalo Usababisha kuharibika kwa figo kwa kawaida kila siku Tunapaswa kula chumvi kiasi cha gramu tano na pointi nane na zikizidi tunaweza kupata matatizo ya figo kwa hiyo ni vizuri kupunguza kiasi cha chumvi kwenye chakula.
3.Kula nyama kupita kiasi .
Kuna Watu wenye tabia ya kula nyama kupita kiasi na kuongeza kiasi kikubwa cha protini kwenye mwili ambacho uharibu figo kwa hiyo tunapaswa kula nyama kwa kiasi kidogo sio kila siku nyama hasa nyama nyekundu.
4.Unywaji wa kupita kiasi kwa vinywaji vyenye caffeine, kama vile soda na kahawa , kwa hiyo tunywe vinywaji hivi ila kwa kiasi kidogo sana hasa wale wenye umri wa magonjwa nyemelezi wanapaswa kupunguza sana.
5. Kutokunywa maji
Hili nalo ni tatizo ambalo Usababisha kuaribika kwa figo kwa sababu maji yanahitajika kwa kiasi kikubwa ili kuweza kusaidia kusafisha uchafu uliopo kwenye figo na uchafu ukiwa mwingi unasababisha kuaribika kwa figo
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) 👉2 Kitabu cha Afya 👉3 Dua za Mitume na Manabii 👉4 ai web app 👉5 Madrasa kiganjani 👉6 Kitau cha Fiqh
Post zinazofanana:
Shida ya kifua kubana inaweza kuwa dalili ya maambukizi ya ukimwi
Kubana kwa kifuwa ni katika hali ambazo si naweza kuhatarisha maisha. Huwenda kuwa ni miongoni mwa dalili za magonjwa mengi. Je unadhani na HIv na UKIMWI ni moja ya magonjwa hayo?
Soma Zaidi...Sababu zinazopelekea tumbo kujaa gesi
Kiufipi posti hii inaelezea kuhusiana na dalili na sababu zinazopelekea tumbo kujaa gesi
Soma Zaidi...Ishara za Mpenzi Asiye Mwaminifu
​Kuhisi mashaka katika mahusiano ni jambo linaloweza kuleta fadhaa kubwa. Post hii inachunguza ishara mbalimbali za tabia zinazoweza kuashiria kutokuwa mwaminifu, huku ikisisitiza umuhimu wa mawasiliano na ushahidi kabla ya kuhukumu.
Soma Zaidi...Fahamu Ugonjwa wa kisukari aina ya 1 (type 1)
Kisukari cha Aina ya 1, ambacho wakati mmoja kilijulikana kama Kisukari cha changa au Kisukari kitegemeacho insulini, ni hali sugu ambapo kongosho hutoa insulini kidogo au haitoi kabisa, homoni inayohitajika kuruhusu sukari (glucose) iingie kwenye se
Soma Zaidi...Kujitenga na jamii: Je, ni ishara ya unyogovu?
​Katika ulimwengu wa kisasa uliounganishwa kidijitali, kitendawili cha upweke katikati ya umati kimezidi kuwa kikubwa. Makala haya yanachunguza uhusiano wa kina kati ya tabia ya kujitenga na jamii (social withdrawal) na afya ya akili, hususan unyogovu. Tunachambua dalili, sababu za kisaikolojia, na tofauti kati ya hitaji la muda mfupi la upweke na ugonjwa wa unyogovu wa kitabibu, huku tukitoa mwongozo wa hatua za kuchukua ili kurejesha ustawi wa kijamii
Soma Zaidi...