Posti hii inahusu zaidi mabadiliko kwenye via vya uzazi kwa wajawazito, tunajua kuwa Mama akibeba mimba tu kuna mabadiliko utokea katika sehemu mbalimbali za mwili.
Mabadiliko ya via vya uzazi kwa wajawazito.
1.Kwanza kabisa Mama akibeba mimba kuna mabadiliko kwenye via vya uzazi kuanzia kwenye uke, mlango wa kizazi, mfumo wa uzazi na kiwango cha kawaida cha damu ubadilika kadri ya ufanyaji wa kazi.
2.Mama anapobeba mimba , kwenye mlango wa kizazi ufunga ili kuzuia maambukizi au kitu chochote kupitia kwenye uke kuja kuingilia kiumbe kilicho kwenye tumbo la uzazi.
3.Tumbo la uzazi ubadilisha na kuongezeka ukubwa hali hiyo utokea kwa sababu ya kuongezeka kwa kimo cha mtoto kadri anavyokua kwa hiyo kadri ya wiki zinaongezeka na tumbo uongezeka hiyo hivyo.
4.Kiwango cha kusafiri kwa damu nacho uongezeka kwa sababu damu inatumika sana kwa Mama na kwa mtoto vile vile na damu utumika sana kwa hiyo mama akiwa mjamzito utumia dawa za kuongeza damu kila mwezi .
5. Na kwenye uke wa Mama uongezeka size na pia huwa kuna maji maji ya kwenye uke nayo uongezeka na pia Mama akikaribia kujifungua na sehemu mbalimbali ambazo mtoto utaka kupitia uanza kulegea ili mtoto aweze kupita.
6.Kwa hiyo akina Mama wakiona dalili kama hizi au mamadiliko kama haya wanapaswa kuona ni kawaida ni kwa sababu ya mimba ndizo uleta mabadiliko mbalimbali na wakijifungua maisha huwa kama kawaida.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Posti hii inahusu zaidi ukweli kuhusu njia za uzazi wa mpango, sio kwa imani potofu ambazo Watu utumia kuelezea uzazi wa mpango.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi sababu za kuvunjika kwa mtoto wakati wa kuzaliwa, kuna wakati mtoto anapozaliwa anaweza kuvunjika kwenye sehemu mbalimbali kwa sababu zifuatazo.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi namna ya kutunza uke, tunajua wazi kuna magonjwa mbalimbali yanayoweza kutokea iwapo uke hautaweza kutunzwa vizuri na pia uke ukitunzwa vizuri kuna faida ya kuepuka maradhi ya wanawake kwa njia ya kutunza uke.
Soma Zaidi...Ni vyakula gani anapasa kula mjamzito, na utaratibu mzima wa lishe kwa wajawazito
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi upungufu wa homoni hii ya cortisol,hii ni homoni ambayo utokana na tezi glang(adrenal gland) kufanya kazi kupitiliza hali ambayo mara nyingi husababishwa na msongo wa mawazo wa mda mrefu, yaani wale watu ambao mda mwingi huwa wenye
Soma Zaidi...Njoo ujifunze vyakula vya kuboresha mbegu za kiume na nguvu za kiume.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi huduma ambayo Mama anapaswa kutolewa pindi mimba inapotishia kutoka huduma hii utolewa kulingana na Dalili tulizoziona zinazohusiana na mimba kutishia kutoka.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi Ute ambao umo kwenye uke, Ute huu utofautiana kulingana na hali ya mama aliyonayo, kama mama ana mimba uke utakuwa tofauti na yule ambaye hana mimba au kama Ute una una magonjwa na hivyo utakuwa tofauti.
Soma Zaidi...