Kipengele hichi tutajifunza tofauti kati ua fiqh na sheria.
Sheria: Maana yake ni ufunuo juu ya mambo mbali mbali, uliomo ndani ya Qur’an na Hadith (Sunnah) za Mtume (s.a.w).
Fiqh: Maana yake ni fani (elimu) ya ufafanuzi wa sheria juu ya mas’ala mbali mbali yasiyokuwa wazi katika utekelezaji wake.
Rejea Qur’an (45:18).
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Mambo ya faradh kwa maiti ya muislamu (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu)
Soma Zaidi...Ni haramu kufunga katika masiku haya. Na endapo utafunga basi funga haitakuwa na malipo.
Soma Zaidi...Uislamu ndio dini pekee ambayo inatoa ufumbuzi juu ya suala la riba.
Soma Zaidi...Maana ya elimuElimu ni ujuzi ulioambatanishwa na utendaji.
Soma Zaidi...