Posti hii inahusu zaidi maelekezo muhimu ya ki afya, ni maelekezo ambayo utolewa ili kuweza kuzifanya afya zetu ziwe bora zaidi na kuepuka madhara yoyote ya ki afya
Maelekezo muhimu ya ki afya.
1.Kwanza kabisa napenda kuwaambia kubwa , Maisha ya mtu huwa na Amani anapokuwa na afya njema ila afya ya mtu ikiguswa na kuwa dhaifu hata furaha ukosa na mtu ushindwa kutimiza malengo yake.kwa hiyo yafuatayo ni maelekezo muhimu ya afya.
2.Jibu au pokea simu kwa mkono wa kushoto na usipende kupokea simu kwa mkono wa kulia na usipende kuongea na simu kwa mda mrefu na pia wakati wa kulala husilale na simu karibu kwa hiyo iweke mbali ili kuepuka mionzi ya simu unapokuwa umelala.
3.Usipendelee kunywa dawa kwa kutumia maji ya baridi siku zote tumia maji ya uvugu vugu na pia usinywe dawa kwa kutumia vinywaji kama vile juice, chai , kahawa, supu au soda tumia maji tena ya uvugu uvugu.
4.Usile milo mizito mizito baada ya saa kumi na moja jioni, kwa mda wa mchana kula iwezavyo kwa sababu unafanya kazi nakwa mda ewa jioni kila milo nyepesi tu na ya kawaida.
5.Kunywa maji mengi ya uvuvgu uvugu wakati wa mchana na maji kiasi wakati wa usiku na usipendelee maji ya baridi, kunywa maji ya uvugu uvugu mara kwa mara.
6. Mda bora wa kulala ni kuanzia saa nne za usiku mpaka saa kumi za alfajiri.
7.Epuka vyakula vyenye sukari wakati wa usiku na tumia mafuta kidogo kwenye chakula chako.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Katika makala hii utakwenda kuzijuwa baadhi ya dalili za ukimwi ama HIV kwa mwanamke
Soma Zaidi...Katika post hii utakwenda kujifunza zaidi khusu dalili za ukimwi ama HIV kwa wanaume
Soma Zaidi...Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu dalili za maumivu ya jino
Soma Zaidi...ugonjwa wa kiseyeye, chanzo chake vipi unatokea na ni zipi dalili zake. Yote haya utayapata hapa
Soma Zaidi...Posti hii inazungumzia kuhusiana na Dalili na ishara za shambulio la moyo. Shambulio la moyo huzuia damu yenye oksijeni kufika kwenye moyo hivyo hupelekea tishu kufa. Na Ugonjwa huu mtu akicheleweshewa matibabu huweza kupata mshtuko wa moyo mpaka kifo.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi Magonjwa vya kurithi ambayo mara nyingi utokea kwenye jamii ni magonjwa ambayo yanaweza kutokea kwenye familia na wanafamilia walio wengi wakaweza kupata ugonjwa huo Magonjwa yenyewe ni kama ifuatavyo.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu njia za kupambana na fangasi
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi dalili za ugonjwa wa macho, ugonjwa huu kwa kawaida una dalili kuu tano kadri ya maambukizi yanavyoongezeka na madhara yake kwa hiyo tunapaswa kujua dalili hizo Kama ifuatavyo.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi Aina za kansa, Kansa ni Aina ya ugonjwa unaosababishwa na kuzaliana kwa seli ambazo sio za kawaida.
Soma Zaidi...