Posti hii inahusu zaidi mabadiliko kwenye mfumo wa chakula kwa wajawazito, ni mabadiliko ambayo utokea kwa wajawazito hasa kwenye mfumo wa chakula.
Mabadiliko kwenye mfumo wa chakula chakula kwa wajawazito.
1.Wajawazito wengi huwa wanahisi kichefuchefu na kwa wakati mwingine kutapika hali hii utokea kwenye wakati wa kwanza wa mimba hali hii usababishwa na kubadilika kwa homoni zinazohusiana na uzazi.
2.Wakati mwingine Mama uhisi kiungulia wakati wa ujauzito hali hii nayo usababishwa na homoni kwa hiyo Mama anapaswa kutumia dawa za kupunguza kiungulia hali hiyo inaweza kuwepo kwa mda na baadae upotea.
3 . Kinyesi cha Mama kubwa kigumu.
Kwa kawaida wanawake wengi Upata tatizo.hili mar kwa mara kwa hiyo tunapaswa kuwapatia maji ya kunywa, matunda,na mboga za majani pamoja na vitu vingine ambavyo Usababisha kinyesi kuwa kilaini.
4.Pengine wajawazito utamani vyakula ambavyo huwa havina faida yoyote mwilini kama vile ulaji wa pemba, mkaa na mawe kwa sababu ya kuwepo kwa ujauzito mama utamani vitu vya aina hiyo lakini akijifungua hawezi tena kutamani vitu vya namna hiyo.
5.Kwa wanawake wengine wanakuwa na tabia ya kutema mate ovyo ovyo hii ni kwa sababu ya kuzalishwa na mate mengi mdomoni yanayosababishwa na homoni zinazohusika na mfumo wa uzazi kwa ujumla.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Posti hii inahusu zaidi njia ambazo mtu anapaswa kutumia ili kuweza kupunguza tatizo hili kisiweze kutokea na pia kama jamii ikishirikiana kwa pamoja tunaweza kuepusha kwa kufanya yafuatayo.
Soma Zaidi...Kama unadhani una tatizo la kuwahi kufika kileleni basi post hii ni kwa ajili yako.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi tabia mbalimbali za Ute wa ovulation kwa sababu Ute huu huwa tofauti na Ute mwingine kwa sababu ya kuwepo kwa tabia zake za kipekee kama tutakavyoona.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi mambo ya kuangalia kwa mtoto mdogo chini ya umri wa miaka mitano ili kuweza kuweka afya yake kwenye njia safi.
Soma Zaidi...Maumivu wakati wa tendo la ndoa kitaalamu huitwa dyspareunia.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi dalili ambazo zinaweza kutokea iwapo Kuna upungufu wa homoni ya progesterone.
Soma Zaidi...SIKU YA KUPATA UJAUZITO Mimba hutokea pindi mbegu ya kiume (sperm) inapokutana na yai la mwanamke (ova) na kuungana kwa pamoja kutengeneza selli moja iitwayo zygote.
Soma Zaidi...Uzazi wa mpango ni njia inayotumiwa na WA awake na wasichana Ili kupata idadi ya watoto wanaowahitaji na kuepuka mimba zisizotarajiwa.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi mabadiliko kwenye tumbo la uzazi la Mama pindi anapobeba mimba, ni mabadiliko yanayotokea kwa mwanamke anapobeba mimba kama ifuatavyo.
Soma Zaidi...