picha
IMANI POTOFU KUHUSU UZAZI WA MPANGO

Post hii inahusu zaidi imani potofu kuhusu uzazi wa mpango, ni imani walizonazo Watu kuhusu matumizi ya uzazi wa mpango.

picha
MAMBO MUHIMU KWA WANAWAKE KABLA YA KUBEBA MIMBA

Posti hii inahusu zaidi mambo muhimu kwa wanawake kabla ya kubeba mimba,Ni mambo ya kuzingatia ili mama akija kubeba mimba...

picha
HUDUMA KWA WANAOPATA HEDHI ZAIDI YA MARA MOJA KWA MWEZI

Posti hii inahusu zaidi huduma kwa wanaoingia kwenye siku zao zaidi ya mara moja kwa mwezi.

picha
HUDUMA KWA WANAOTOA DAMU YENYE MABONGE

Posti hii inahusu zaidi namna ya kuwasaidia wanaotoa hedhi yenye mabonge, ni tatizo ambalo uwakumba wasichana hata wanawake wakati wa...

picha
KIVIMBA KWA MISHIPA YA DAMU

Posti hii inaelezea kuhusiana na Ugonjwa wa kuvimba kwa mishipa yako ya damu. Inasababisha mabadiliko katika kuta za mishipa...

picha
HUDUMA KWA WASIOONA HEDHI

Posti hii inahusu zaidi msaada au namna ya kuwahudumia wale wasioona hedhi na wamefikiwa kwenye umri wa kuweza kuona hedhi.

picha
FAHAMU UGONJWA UNAOHUSIANA NA KUZIDI KWA JOTO MWILINI (ANHIDROSIS) AMA HEATSHOCK

posti hii inazungumzia kuhusiana na Ugonjwa na Ugonjwa unaohusiana na joto ambao hujulikana Kama Anhidrosis ni kutoweza jasho kawaida. ...

picha
HUDUMA KWA MWENYE MAUMIVU YA TUMBO LA HEDHI

Posti hii inahusu msaada kwa mwenye maumivu ya tumbo la hedhi, hizi ni huduma ambazo utolewa kwa wale wenye maumivu...

picha
SABABU ZA KUPATA HEDHI ZAIDI YA MARA MOJA KWA MWEZI MMOJA

Posti hii inahusu zaidi sababu za kuwepo kwa hedhi zaidi ya mara moja kwa mwezi mmoja, mara nyingi kuna Watu...

picha
KUWEPO KWA MABONGE YA DAMU WAKATI WA HEDHI

Posti hii inahusu zaidi kuwepo kwa mabonge ya damu wakati wa hedhi, tunajua kabisa wakati wa hedhi damu inapaswa kuwa...

picha
SABABU ZA KUTOONA HEDHI KWA WAKATI

Posti hii inahusu zaidi sababu za kukosa hedhi wakati mda wa kuona hedhi umefika ni tatizo linalowasumbua baadhi ya wasichana...

picha
MAUMIVU WAKATI WA HEDHI.

Posti hii inahusu zaidi maumivu wakati wa hedhi, haya ni maumivu ambayo utokea wakati wa hedhi kwa wanawake walio wengi,...

picha
DALILI ZA UPOTEVU WA KUSIKIA

posti hii inazungumzia kuhusiana na Upotevu wa kusikia unaotokea hatua kwa hatua kadri umri unavyozeeka (presbycusis) ni jambo la kawaida. ...

picha
VIRUSI VINAVYOPELEKEA KUHARISHA SANA NA KUTAPIKA SANA(NOROVIRUS)

Maambukizi ya Norovirus yanaweza kusababisha kutapika sana na Kuhara. Virusi huambukiza sana na kwa kawaida huenea kupitia chakula au maji...

picha
IMANI POTOFU KUHUSU KIFUA KIKUU

Posti hii inahusu zaidi imani potofu waliyonayo Watu kuhusu ugonjwa wa kifua kikuu, hizi ni imani ambazo uwepo kwenye jamii...

picha
MAAMBUKIZI KWENYE MFUMO WA USAGAJI CHAKULA UNAOTOKEA KWENYE UTUMBO MKUBWA (DIVERTICULITIS)

Posti hii inazungumzia kuhusiana na mifuko midogo midogo, iliyobubujika ambayo inaweza kuunda kwenye utando wa mfumo wako wa usagaji chakula....

picha
SABABU ZA KUKOMA HEDHI (PERIMENOPAUSE)

Kukoma hedhi hufafanuliwa kuwa hutokea miezi 12 baada ya kipindi chako cha mwisho cha hedhi na huashiria mwisho wa mizunguko...

picha
NAMNA YA KUJIKINGA NA KIFUA KIKUU

Posti hii inahusu zaidi namna ya kuzuia au kujikinga na kifua kikuu, hizi ni njia ambazo utumika ili kujikinga na...

picha
DALILI ZA KIFUA KIKUU KWA WATOTO.

Posti hii inahusu zaidi dalili za kifua kikuu kwa watoto,ni Dalili ambazo ujitokeza kwa watoto pindi wanapopata Maambukizi ya kifua...

picha
MGAWANYO WA MATIBABU YA KIFUA KIKUU.

Posti hii inahusu zaidi mgawanyo wa matibabu ya kifua kikuu, tunajua kubwa kifua kikuu ni Ugonjwa ambao utumia mda mrefu...

picha
MALENGO YA KUTIBU UKOMA

Posti hii inahusu zaidi malengo ya kutibu ukoma, ni malengo ambayo yamewekwa na wizara ya afya ili kuweza kutokomeza ukoma...

picha
DAPSONE NA KAZI ZAKE

Posti hii inahusu zaidi dawa ya Dapsone na kazi zake, hii ni dawa ambayo utumika katika kutibu ugonjwa wa ukimwi,...

picha
DAWA YA ISONIAZID NA KAZI ZAKE

Posti hii inahusu zaidi dawa ya lsoniazid nA kazi zake, ni dawa ambayo inasaidia kutibu kifua kikuu kati ya madawa...

picha
DAWA YA RIFAMPICIN NA KAZI ZAKE

Posti hii inahusu zaidi Dawa ya Rifampicin na kazi zake, hii ni dawa mojawapo inayotibu kifua kikuu kati ya Dawa...

Page 166 of 229

Kuhusu Bongoclass

image

Bongoclass ni jukwaa la Kitanzania lenye lengo la kushirikisha maarifa na akili ili kukuza uwezo wa watu binafsi na jamii kwa ujumla. Kupitia tovuti yetu, programu ya simu, na mitandao ya kijamii, Bongoclass hutoa maudhui ya elimu bure kwa Kiswahili katika maeneo mbalimbali kama afya, burudani, na masomo ya shule. Jukwaa hili linajikita katika kutoa fursa za kujifunza, kushirikiana, na kukuza uchumi kwa kuzingatia muktadha wa kitamaduni na lugha ya Kiswahili.