Sababu za maumivu ya mwili.

Posti hii inahusu zaidi sababu ya kuwepo kwa maumivu ya mwili kwa sababu tunaweza kuhisi maumivu kwenye sehemu za mwili kwa sababu mbalimbali kama tutakavyoona hapo chini

Sababu za maumivu ya mwili.

1.Kwanza kabisa tunapaswa kujua kuwa maumivu ni hali ya kutojisikia salama kwenye mwili ambayo Usababisha na vitu mbalimbali kama tutakavyoona kwa hiyo mtu anapokuwa na maumivu amani uisha na kuweza kushindwa kushiriki kazi mbalimbali kwenye jamii. Zifuatazo ni sababu za maumivu.

 

2. Kichwa.

Kichwa ni mojawapo ya sababu za maumivu ya mwili kwa sababu kichwa kilipatwa na Maambukizi yoyote yale maumivu uanza au maji yakiisha mwilini kichwa uanza kuumwa kwa hiyo kichwa ni mojawapo ya sababu za maumivu kwenye mwili.

 

3. Mivunjiko ya mifupa.

Kuwepo kwa mvunjiko wowote wa mfupa Usababisha kuwepo kwa maumivu kwenye mwili kwa hiyo tunapaswa kuepuka nafasi za kupata hiyo mivunjiko na kuweza kuepuka na maumivu mwilini.

 

4. Mshutuko kwenye misuli.

Kuwepo kwa mistuko kwenye misuli ni mojawapo ya visababishi vya kuwepo kwa maumivu kwa hiyo ilitokea misuli ikasutuka tunapaswa kutibu mara moja ili kuepuka kuwepo kwa maumivu endelevu.

 

5. Kujikata na kifaa chochote.

Kujikata na kifaa chochote hasa hasa chenye ncha kali ni mojawapo ya sababu ya kuwepo kwa maumivu kwa sababu sehemu iliyokatwa uuma na kumfanya mtu ahisi maumivu makali.

 

6. Maumivu ya tumbo.

Maumivu ya tumbo na yenyewe ndio chanzo cha Maumivu kwa sababu kuwepo kwa Maambukizi kwenye tumbo usababisha maumivu kwa hiyo mtu uhisi anaumia sana tumboni kwa hiyo tunapaswa kutibu tumbo mapema ili kuweza kuepuka maumivu .

 

7. Maambukizi kwenye mifupa na joint.

Kwa kuwepo Maambukizi kwenye sehemu ya mifupa na joint nayo usababisha maumivu kwa hiyo kama kuna Maambukizi yoyote yatibiwe mapema iwezekanavyo ili kuzuia Maambukizi.

 

8.kwa hiyo tunapaswa kujua kubwa maambukizi usababishwa na sehemu mbalimbali za mwili hasa zilipatwa na Maambukizi kwa hiyo ili kuepuka maumivu kwenye mwili tunapaswa kutibu Maambukizi na baadae kuweza kuepuka maumivu



Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2022/02/18/Friday - 03:47:42 pm     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 3271


Download our Apps
👉1 Kitau cha Fiqh     👉2 kitabu cha Simulizi     👉3 Kitabu cha Afya     👉4 Madrasa kiganjani    

Post zifazofanana:-