picha
IJUE KAZI YA HOMONI YA HCG WAKATI WA KUPIMA MIMBA.

Posti hii inahusu zaidi kazi ya homoni ya HCG katika kupima mimba, HCG maana yake ni human chorionic gonadotropin ni...

picha
NJIA ZA UZAZI WA MPANGO KWA AKINA MAMA KUANZIA MIEZI SITA BAADA YA KUJIFUNGUA MPAKA MWAKA MMOJA

Posti hii inahusu zaidi njia za uzazi wa mpango kwa mama aliyejifungua kuanzia miezi sita mpaka mwaka mmoja.

picha
NJIA ZA UZAZI WA MPANGO KWA WANAONYONYESHA.

Posti inahusu zaidi njia maalum za uzazi wa mpango kwa wanaonyonyesha,Ni njia za uzazi ambazo wanaonyesha wanatumia kwa sababu kuna...

picha
UZAZI WA MPANGO KWA NJIA YA KUMWAGA MANII NJE.

Posti hii inahusu zaidi uzazi wa mpango kwa njia ya kumwaga shahawa nje, hii ni njia mojawapo kati ya njia...

picha
HUDUMA KWA WANAWAKE WENYE MAHITAJI MAALUM.

Posti hii inahusu huduma kwa wanawake wenye mahitaji maalum, ni wanawake ambao wana shida ya akili, walionyanyaswa kijinsia, wakimbizi na...

picha
NJIA ZA KUZUIA UPUNGUFU WA DAMU KWA WAJAWAZITO

Posti hii inahusu zaidi njia za kuzuia upungufu wa damu kwa wajawazito, ni mojawapo ya njia ambazo utumiwa na wahudumu...

picha
NJIA ZA KUZUIA MALARIA KWA WAJAWAZITO

Posti hii inahusu zaidi njia mbalimbali za kuzuia Malaria kwa wajawazito na watoto wao wakiwa bado tumboni, tunajuwa wazi kuwa...

picha
NAMNA YA KUANGALIA MAENDELEO YA MTOTO AKIWA TUMBONI MWA MAMA

Posti hii inahusu zaidi namna ya kuangalia maendeleo ya mtoto akiwa tumboni mwa mama, zoezi hili ufanyika kila mwezi pale...

picha
NAMNA YA KUONGEZA NA MJAMZITO ILI KUPATA TAARIFA ZAKE NA KUTOA MSAADA

Posti hii inahusu zaidi namna ya kuongea na Mama mjamzito ili kuweza kugundua tatizo lake na kutoa msaada pale penye...

picha
MAPENDEKEZO MUHIMU KWA WAJAWAZITO

Posti hii inahusu zaidi mapendekezo muhimu kwa wajawazito, haya ni mapendekezo yaliyotolewa na wataalamu wa afya ili wajawazito waweze kule...

picha
MALENGO YA HUDUMA ZA UZAZI KWA AKINA MAMA.

Posti huu inahusu zaidi malengo ya huduma za uzazi kwa akina Mama, ni huduma muhimu ambazo zimetolewa kwa akina Mama...

picha
NGUZO KUU ZA UMAMA KATIKA UMRI WA KUPATA WATOTO NA KULEA WATOTO

Posti hii inahusu zaidi nguzo kuu za umama katika umri wa kujifungua na kulea watoto, ni kipindi ambacho mama anakuwa...

picha
MAMBO YANAYOHITAJIKA KABLA YA KUANZA UPASUAJI

Posti hii inahusu zaidi mambo yanayohitajika kabla ya kuanza upasuaji ni mambo muhimu ambayo yanapaswa kufanyika kwanza na baadaye upasuaji...

picha
UMUHIMU WA KUVAA NGUO ZA UPASUAJI.

Posti hii inahusu zaidi umuhimu wa nguo za upasuaji, tunajua wazi kuwa, wakati wa upasuaji tunapaswa kusafisha chumba na mazingira...

picha
NGUO ZINAZOVALIWA KWENYE CHUMBA CHA UPASUAJI NA KAZI ZAKE

Posti hii inahusu zaidi nguo za kuvaliwa kwenye chumba cha upasuaji na kazi zake, hizi ni nguo ambazo wahudumu wa...

picha
SHERIA ZA KUTUNZA USAFI WAKATI WA UPASUAJI.

Posti hii inahusu zaidi sheria za kutunza usafi wakati wa upasuaji, iwapo sheria mojawapo ikienda kinyume ijulikane kuwa usafi haujaenda...

picha
NAMNA YA KUTUNZA CHUMBA CHA UPASUAJI

Posti hii inahusu zaidi namna ya kutunza chumba cha upasuaji, chumba cha upasuaji ni tofauti na vyumba vingine kwenye hospitali...

picha
VYUMBA VIDOGO VIDOGO KWENYE CHUMBA CHA UPASUAJI

Post hii inahusu zaidi juu ya vyumba vidogo vidogo ambavyo Vimo kwenye chumba cha upasuaji, ingawa chumba cha upasuaji ni...

picha
ZIJUE SEHEMU KUU NNE ZA CHUMBA CHA UPASUAJI

Post hii inahusu zaidi sehemu kuu nne za chumba cha upasuaji, chumba cha upasuaji kina sehemu kuu nne na sehemu...

picha
IJUE TIMU YA UPASUAJI

Posti hii inahusu timu ya upasuaji hii ni timu ambayo inahusika katika chumba cha upasuaji, kwa sababu ya kutunza...

picha
UMUHIMU WA KUPIMA VIRUS VYA UKIMWI KWA WAJAWAZITO NA WANAONYONYESHA

Post hii inahusu umuhimu wa kupima virus vya ukimwi kwa mama wajawazito na wanaonyonyesha. Ni hatua ya kupima Mama akiwa...

picha
MAGONJWA YA KWENYE OVARI NA DALILI ZAKE.

Post hii inahusu zaidi Magonjwa yanayoshambulia sana ovari na Dalili zake, haya ni magonjwa ambayo yanashambulia sana ovari ni kama...

picha
NJIA ZA KUZUIA UGUMBA

Posti hii inahusu zaidi njia za kuzuia ugumba, ni njia ambazo utumiwa na wapenzi ambao wameshindwa kupata watoto hasa kwa...

picha
MAMBO YANAYOPELEKEA UGUMBA.

Post huu inahusu zaidi mambo yanayopelekea ugumba kwa wanaume, ni mambo ambayo uchangia au upelekea mwanaume kukosa uzazi.

Page 168 of 229

Kuhusu Bongoclass

image

Bongoclass ni jukwaa la Kitanzania lenye lengo la kushirikisha maarifa na akili ili kukuza uwezo wa watu binafsi na jamii kwa ujumla. Kupitia tovuti yetu, programu ya simu, na mitandao ya kijamii, Bongoclass hutoa maudhui ya elimu bure kwa Kiswahili katika maeneo mbalimbali kama afya, burudani, na masomo ya shule. Jukwaa hili linajikita katika kutoa fursa za kujifunza, kushirikiana, na kukuza uchumi kwa kuzingatia muktadha wa kitamaduni na lugha ya Kiswahili.