Mabadiliko ya mzunguko wa damu kwa wajawazito.

Mabadiliko ya mzunguko wa damu kwa wajawazito.

Posti hii inahusu zaidi mabadiliko ya mzunguko wa damu kwa wajawazito, tunajua wazi kuwa wajawazito pindi ujauzito ukiingia tu, kila kitu kwenye mwili ubadilika vile vile na mzunguko wa damu ubadilika.

Mabadiliko ya mzunguko wa damu kwa wajawazito.

1.Kwanza kabisa tunajua wazi kuwa mama akibeba mimba na mzunguko wa damu unabadilika kwa sababu hapo awali ni Mama pekee aliyekuwa anatumia damu ila kwa sababu ya kuwepo kwa kiumbe kingine ili nacho kiweze kutunzwa kwa miezi tisa na msukumo wa damu ubadilika kama ifuatavyo.

 

2.Moyo.

Kiasi cha moyo ubadilika kwa asilimia kumi na mbili kwa hiyo kiasi cha moyo uongezeka ili kuweza kusukuma damu kwa mama na kwa mtoto hali  hii ya mabadiliko uchukua miezi tisa na baada ya miezi tisa hali huwa kawaida.

 

3.Mapigo ya moyo nayo uongezeka.

Wakati wa ujauzito na mapigo ya moyo ubadilika yaani uongezeka kutoka kwa asilimia themanini na tano mpaka asilimia hamsini, hali hii utokea ili kuweza kusukuma damu kwenye figo, ubongo na katika mishipa mingine ya damu.

 

4. Spidi ya damu nayo uongezeka.

Spidi ya damu uongezeka kutoka kwenye kiwango cha kawaida kwa sababu uweza kusukuma damu kwa haraka kutoka kwa Mama ili kuweza kuondoa wadudu wanaoweza kusababisha magonjwa na pia kuweza kuweza kusafirisha mahitaji yote kwa mtoto na Mama.

 

5. Kiwango cha seli nyeupe za damu nacho uongezeka ili kuweza kuzuia kuwepo kwa bakteria na kupambana na Maambukizi yoyote ambayo yanaweza kushambulia Mama na mtoto wakati wa ujauzito.

 

6. Kwa hiyo akina Mama wakisikia mabadiliko kwenye miili yao wanapaswa kufahamu kubwa ni kwa sababu ya kuwepo kwa mimba na baadae hali inakuwa kawaida

 

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

       
Author: Rajabu Rajabu
Tarehe: 2024-05-10 14:53:23 Topic: Uzazi Main: Post File: Download PDF Views: 2283

Share On:

Share follows: 0 | Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 Kitau cha Fiqh     👉2 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)     👉3 Tafasiri ya Riyadh Swalihina     👉4 kitabu cha Simulizi     👉5 ai web app     👉6 Bongolite - Game zone - Play free game    

Post zinazofanana:

Madhara ya kupungua kwa homoni ya projestron

Posti hii inahusu zaidi madhara ambayo yanaweza kutokea ikiwa homoni ya projestron ikipungua mwilini na pia kuweza kutambua dalili za kupungua kwa homoni hii ya progesterone.

Soma Zaidi...
Huduma kwa mtoto mwenye matatizo ya upumuaji

Posti hii inahusu zaidi huduma kwa mtoto mwenye shida ya kupumua, mtoto kama ana shida ya kupumua tunaangalia dalili kwanza na baadaye tunaweza kutoa huduma kulingana na Dalili.

Soma Zaidi...
Dalili za maumivu ya hedhi

Maumivu ya hedhi (dysmenorrhea) ni maumivu makali au ya kubana sehemu ya chini ya tumbo. Wanawake wengi hupatwa na Maumivu ya hedhi kabla tu na wakati wa hedhi zao. Kwa wanawake wengine, usumbufu huo ni wa kuudhi tu. Kwa wengine,&nbsp

Soma Zaidi...
Ujue Ute kwenye uke

Post hii inahusu zaidi Ute ambao umo kwenye uke, Ute huu utofautiana kulingana na hali ya mama aliyonayo, kama mama ana mimba uke utakuwa tofauti na yule ambaye hana mimba au kama Ute una una magonjwa na hivyo utakuwa tofauti.

Soma Zaidi...
Aina za uvimbe kwenye kizazi.

Posti hii inahusu zaidi aina mbalimbali za uvimbe kwenye kizazi, uvimbe unatokea kwenye kizazi ila utofautiana kulingana na sehemu ambazo uvimbe huo umepata.

Soma Zaidi...