Post yetu ya Leo inaenda kutufundisha kuhusiana na uvimbe wa korodani moja au ambayo kitaalamu huitwa EPIDIDYMITIS. EPIDIDYMITIS ni ugonjwa unaoathiri mfumo wa kiume wa uzazi. Epididymis ni mrija (tube) uliyoko nyuma ya korodani ambayo mbegu za kiume
Sababu za kuvimba na maumivu makali kwenye korodani ;
1.kisonono ; huu ni ugonjwa wa zinaa ambao ugonjwa kwenye korodani.
2.chlamydia; ni wekundu ama maumivu kwenye mlango wa uume majeraha au kuwaka moto wakati wa kukojoa.
3.UTI sugu yaweza kusambaa kwenye tezi dume kuja kwenye mirija hii na kuleta maambukizi.
4.kupata jeraha kwenye korodani ; hii ni hutokea pale ambapo michubuko imetokea kwenye korodani na majeraha haya huleta usaha.
5.maambukizi ya TB kwenye uume; Kama mwanaume atakuwa ameathirika na virusi vya TB vikawa sugu huweza kusambaa na kusababisha korodani kuvimba na maumivu makali Sana.
6.mkojo kuingia kwenye mirija ya epididymis
Dalili zinazopelekea kupata uvimbe na maumivu kwenye korodani;
-Pumbu kuvimba na kubadilika rangi; hii ni korodani kuwa na usaha mausaha ya kivimbiana hupelekea maumivu makali Sana.
-kutokwa na uchafu kwenye uume
-kutoa shahawa zenye damu
-korodani kuwa na maumivu makali pale zitakaposhikwa.
-maumivu wakati wa kukojoa
-maumivu ya tumbo la chini au nyonga.
Vihatarishi vinavyosababisha maumivu na kuvimba kwa korodani
1.kuwa na wapenzi wengi m(sexual intercourse). mwanaume akiwa na wapenzi Zaid ya mmoja hupata maambukizi ya magonjwa mengi ikiwepo kuvimba na maumivu makali kwenye korodani.
2.kufanya tendo la ndoa bila kutumia kondomu
3.kuwa na magonjwa ya zinaa ambayo ni sugu kama kisonono na kaswende
4.kukua kwa tezi dume; ambayo huwapata zaidi walio na umri wa miaka 60 na huwakuendelea ni Mara chache Sana kuona wanaume chini ya umri anzia 40 akiwa na uvimbe wa korodani.
5.maambukizi sugu kwenye tezi dume Kama vile UTI na fangasi.
Mathara yanayosababisha maumivu na kuvimba kwa korodani
-ugumba
-kujaa kwa usaha
-ugonjwa wa epidydimo orchitis
Matibabu yanayo tibu uvimbe na maumivu kwenye korodani.
√Dawa; dawa zinazoweza kutibu ugonjwa huu ni dawa za magonjwa ya zinaa au UTI.
√upasuaji; Kama Pumbu zimevimbia usaha matibabu itakuwa ni upasuaji ili kuondoa uvimbe na maumivu makali kwenye korodani.
Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.
Download NowUmeionaje Makala hii.. ?
Maambukizi ya H. pylori hutokea wakati aina ya bakteria inayoitwa Helicobacter pylori (H. pylori) inapoambukiza tumbo lako. Hii kawaida hutokea wakati wa utoto. Sababu ya kawaida ya Vidonda vya tumbo, maambukizi ya H. pylori yanaweza kuwa katika za
Soma Zaidi...Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu dalili za maumivu ya jino
Soma Zaidi...VYNZO VYA MINYOO Kama tulivyoona hapo mwanzo kuusu aina za minyoo, pia tumeona vyanzo vya minyoo hao kulingana na aina zao.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi mambo yanayochangia katika makuzi ya mtoto, mtoto katika makuzi yake anahitaji kutunzwa vizuri Ili akue kwa afya nzuri bila magonjwa
Soma Zaidi...Mfumo wa chakula unaweza kuwa dhaifu kwa sababu nyingi ikiwepo vyakula vyenyewe, vinywaji ama maradhi. Vipi kuhusu minyoo? Endelea na makala hii utajifunza zaidi.
Soma Zaidi...Posti hii inahusisha maambukizi ya virusi vya ukimwi .pia tutangalia njia za kujikinga na ugonjwa wa UKIMWI
Soma Zaidi...Post hii inakwenda kujibu swali la muulizaji. Kuhusu syyle za tendo la ndoa
Soma Zaidi...