Posti hii inahusu zaidi vifaa vya kutumia wakati wa kusafisha vidonda, ni vifaa muhimu ambavyo mara nyingi kutwa hospitalini.
Vifaa vya kutumia wakati wa kusafisha vidonda.
1.Kwanza kabisa tunapaswa kufahamu kubwa vidonda usafishwa kulingana na aina yake au hali yake kidonda kikubwa na chenye uchafu hakiwezi kusafishwa sawa na kidonda kidogo na kisicho na uchafu hata na dawa utofautiana.
2.Kuna dawa ambazo utumika kusafisha vidonda kama vile hydrogen peroxide, uso , na maji mengine ambayo kwa kawaida kuitwa hospitalini ambayo kwa kitaalamu huitwa normal saline ambayo utumika kusafishia vidonda vyenye uchafu wa kawaida.
3.vifaa vingine ni seti ya kusafishia vidonda ambavyo kwa kawaida huwa ni safi na usafishwa kila siku kabla ya kutumia na wanaofanya kazi hiyo ni wale wenye ujuzi kuhusu kusafisha vifaa hivyo.
4. Pia wakati wa kusafisha vidonda panakuwepo na kitambaa ambacho hakiputishi maji ili kuweza kuzuia maji maji yasiendelee kutoka wakati wa kusafisha vidonda.
5. Pia panakuwepo na gloves ambazo mhudumu utumia ili kuepuka Ugonjwa au wadudu kutoka kwa mgonjwa kwenda kwa mhudumu au kutoka kwa mhudumu kwenda kwa mgonjwa.
6.Pia panakuwepo na ndoo kwa ajili ya kusafishia vyombo vitakavyotumiwa moja inakuwa naaji yenye sabuni nyingine maji yenye chlorine na nyingine maji ya kawaida ambayo ni masafi.
7. Na gauze , bandage vinapaswa kuwepo ili kuweza kumfunga mgonjwa baada ya kumsafisha na pia dawa iliyoagizwa na daktari inabidi kuwepo ili kuweza kumfungia baada ya kumwosha
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu baadhi ya kazi ya protin na vyakula vya protini mwilini
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi umuhimu wa pua kama mojawapo ya mlango wa fahamu.pua ni mlango wa fahamu ambao uhusika na kupumua.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi kazi ya chanjo za polio na kazi zake,hii ni chanjo ambayo unazuia maambukizi ya Virusi vinavyosababisha polio.
Soma Zaidi...Posti hii inazungumzia kuhusiana na Mambo yanayoweza kuadhiri Uponyaji wa jeraha.jeraha huleta maumivu makali sana, vilevile Uvimbe, kutoa usaha. Pia jeraha hutofautiana katika kupona kwa mtu mzima na Mtoto.
Soma Zaidi...Posti hii inaelezea kuhusiana na mbinu za kutoa huduma ya kwanza kqa mgonjwa aliyeingiliwa na kitu au uchafu kwenye sikio.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu mambo yanayosaidia kuboresha afya
Soma Zaidi...Kungโatwa na nyuki kunaweza kukahitaji huduma ya kwanza kwa haraka kama mgonjwa ana aleji na nyuki.
Soma Zaidi...Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu huduma ya Kwanza kwa mtu aliyepatwa na presha ya kushuka
Soma Zaidi...