Posti hii inahusu zaidi aina kuu za vidonda,kuna aina kuu tatu za vidonda ambapo kila aina utumiwa kwa njia yake kama tutakavyoona hapo chini.
Aina za vidonda.
1.Aina ya kwanza ya vidonda inategemea kuwepo au kutokuwepo na wadudu.
Katika aina hii ya vidonda utegemea kuwepo au kutokuwepo na wadudu, kuna vidonda ambavyo havina wadudu kwa hiyo usafishwa kawaida na maji na ufungwa vizuri, na vingine vina wadudu wa kiasi ambavyo usafishwa na hydrogen peroxide na vingine vina wadudu wengi sana pamoja na uchafu ambayo usafishwa na uso pamoja na hydrogen peroxide.
2.Aina nyingine ya vidonda utegemea na hali ya kuwepo au kutokuwepo kwa mvunjiko.
Kwenye aina hii y as vidonda vingine vinakuwa vimefunga na vingine vinakuwa vimefunguliwa kwa hiyo vile vilivyofungwa havina uchafu kama vile vilivyofunguliwa kwa sababu vilivyofunguliwa uhitaji uangalizi zaidi na kuweza kuepuka kuwepo kwa Maambukizi mengine zaidi.
3.Aina nyingine ya vidonda utegemea na visababishi kwa sababu vidonda vingine usababisha na kujikwaruaza, vingine usababishwa na kuchomwa na vitu vyenye ncha kali , vingine usababishwa na vitu vyenye kutu, kwa hiyo aina hiyo ya vidonda huwa na chanzo kwa hiyo na matibabu utegemea Chanjo.
4.kwa hiyo jamii inapaswa kujua kuwa vidonda vipo kwenye jamii na vinatibiwa na pia tunapaswa kuacha matibabu ya ziada ambayo yanaweza kufanya vidonda visipone haraka kwa mfano kukanda kidonda kikubwa na maji ya moto kwa mda wa siku nyingi na kidonda hicho hakiponagi haraka kwa hiyo tunapaswa kuvileta vidonda hospitalini ili tupate matibabu na vitapona haraka.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Post hii inahusu zaidi ugonjwa wa kipindupindu ni ugonjwa unaosababishwa na bakteria kwa kitaalamu huitwa vibrio cholera.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi faida za kusafisha vidonda, ni faida ambazo Mgonjwa mwenye vidonge uzipata kama ifuatavyo.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu kazi ya chanjo ya kifua kikuu kwa kitaalamu huitwa BCG. Ni chanjo ambayo uzuia kifua kikuu na ukoma.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi kazi za ini, kwa kawaida tunafahamu kwamba ini ni sehemu muhimu kwenye mwili wa binadamu kwa sababu ni.likikosa kufanya kazi yake maisha ya binadamu yanakuwa hatarini kwa sababu mbalimbali.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi viwango vitatu vya kuungua. Ili tuweze kujua mtu ameunguaje Kuna viwango vitatu vya kujua kiasi na namna mtu alivyoungua
Soma Zaidi...Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu njia za kukabiliana na minyoo
Soma Zaidi...Kuzimia ni hali ya kupoteza fahamu ambako kunaendana na kutokuhema.
Soma Zaidi...Maisha ya mtu yanaweza kuwa hatarini ama kupotea mara moja baada ya kunywa sumu.
Soma Zaidi...