Posti hii inahusu zaidi madhara ya kutotibu Maambukizi kwenye tumbo na utumbo mdogo, ni madhara ambayo yanaweza kutokea iwapo maambukizi kwenye tumbo na utumbo mdogo hayatatibiwa kwa wakati.
Athari za kutotibu Maambukizi kwenye tumbo na utumbo mdogo.
1.Kuvuja kwa damu kwenye tumbo na utumbo mdogo, hali hii utokea kwa sababu ya kuwepo kwa Maambukizi kwenye tumbo na utumbo mdogo ambayo usababisha kuvuja damu sehemu ambazo zimeathirika kwa hiyo tunapaswa kutibu Magonjwa haya Mara moja.
2.kupoteza maji mwilini .
Kama Magonjwa ya Maambukizi kwenye tumbo na utumbo mdogo hayatatibiwa yatasababisha mgonjwa kuendelea kutapika na kuharisha hatimaye kuishiwa maji mwilini na tunajua umuhimu wa maji mwilini na hali hii ikitokea kwa mgonjwa inaweza kuleta madhara makubwa zaidi.
3. Kutokuwepo kwa madini yanayohitajika mwilini kwa sababu ya kuharisha na kutapika kwa mfano sodium itaongezeka na potassium itapungua hali huu haipaswi juwa hivyo bali kiwango cha sodium linapaswa juwa sawa na kiwango cha potassium kinapaswa kuwa kwenye kawaida yake.
4. Mgonjwa pia anaweza kuzimia.
Kwa sababu ya kuwepo hali ya kuharisha na kutapika maji yanaisha mwilini kwa hiyo Mgonjwa anaweza kuzimia kwa sababu ya kuishiwa na maji mwilini.
5. Kwa hiyo tunajua kabisa Maambukizi ya kwenye tumbo Usababishwa na bakteria au pengine na virusi ambao usababisha kuharisha na kutapika pamoja na maumivu ya tumbo kwa hiyo tunapaswa kuwapeleka wagonjwa wetu hospitali ili waweze kupata huduma kwa sababu kuharisha na kutapika umaliza maji mwilini.
Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.
Download NowSomo hili linakwenda kukueleza kuhusu baadhi ya athari zinazoweza kutokea endapo minyoo haitotibiwa
Soma Zaidi...Katika post hii utajifunz akuhusu vidonda vya tumbo na jinsi vinavyotokea. Utajifunza pia tahadhari anazopasa mtu achukuwe na vyakula salama anavyopaswa kula.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi vyanzo vya kuwepo kwa sumu mwilini, kwa sababu kuna wakati mwingine tunapata magonjwa na matatizo mbalimbali ya ki afya tunaangaika huku na huko kumbe sababu kubwa ni kuwepo kwa sumu mwilini na vyanzo vya sumu hiyo ni kama ifuatavy
Soma Zaidi...SABABU ZA KUTOKEA KWA VIDONDA VYA TUMBO Sababu za kawaida za vidonda vya tumbo ni maambukizo na bakteria Helicobacter pylori (H.
Soma Zaidi...Makala hii itakwenda kukueleza ni nini hasa hizi figo, na ni yapi maradhi yake na ni kwa namna ggani utaweza kujilinda na maradhi ya figo.
Soma Zaidi...Ugonjwa wa pumu ni ugonjwa unaoshambulia mfumo wa hewa ambapo mgonjwa hushindwa kupumua vizuri na hupelekea matatizo ya kudumu kama haujatibiwa mapema.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukuletea njia za kujilinda na kujikinga na UTI
Soma Zaidi...