picha
FAHAMU MATATIZO YA INI KUWA NA KOVU

kovu (Fibrosis) ya ini inayosababishwa na aina nyingi za magonjwa na hali ya ini, kama vile Homa ya Ini na...

picha
KAZI ZA HOMONI KATIKA MZUNGUKO HEDHI.

Post hii inahusu zaidi kazi za homoni katika Mzunguko wa hedhi, katika kipindi hiki kuna homoni mbalimbali ambazo ufanya kazi...

picha
MALENGO KWA AKINA MAMA NA WACHUMBA KABLA YA KUBEBA MIMBA.

Posti hii inahusu zaidi malengo kwa akina Mama na wachumba kabla ya kubeba mimba, ni malengo ambayo yametolewa ili kuweza...

picha
VIPIMO MUHIMU KABLA YA KUBEBA MIMBA

Posti hii inahusu zaidi vipimo muhimu kabla ya kubeba mimba,ni vipimo vya moja kwa moja kutoka maabara na vingine sio...

picha
USHAURI KABLA YA KUBEBA MIMBA.

Posti hii inahusu zaidi ushauri kwa akina Mama na wachumba kabla ya kubeba mimba, kabisa ya kubeba mimba akina Mama...

picha
FAIDA ZA UZAZI WA MPANGO KWA JAMII

Posti hii inahusu zaidi faida za uzazi wa mpango kwa jamii, tunapaswa kujua kuwa uzazi wa mpango ukitumiwa vizuri na...

picha
FAIDA ZA UZAZI WA MPANGO KWA WATOTO.

Posti hii inahusu zaidi umuhimu wa uzazi wa mpango kwa watoto, sio akina Mama peke yao wanaofaidika na uzazi wa...

picha
UGONJWA WA COMA

Coma ni hali ya kupoteza fahamu kwa muda mrefu ambayo inaweza kusababishwa na matatizo mbalimbali Jeraha la Kichwa, Kiharusi, Uvimbe...

picha
MATATIZO YANAYOWEZA KUSABABISHA SARATANI.

Posti hii inazungumzia kuhusiana na matatizo yanayoweza kusababisha Ugonjwa wa Saratani.

picha
DALILI ZA UGONJWA WA SARATANI.

Saratani inahusu ugonjwa wowote kati ya idadi kubwa ya magonjwa ambayo yanaonyeshwa na ukuaji wa seli zisizo za kawaida ambazo...

picha
DALILI ZA KISUKARI AINA YA TYPE 2

Kisukari cha Aina ya 2, ambacho wakati mmoja kilijulikana kama Kisukari cha watu wazima au kisichotegemea insulini, ni ugonjwa sugu...

picha
DALILI ZA SARATANI YA FIGO.

Saratani ya Figo ni Saratani ambayo huanzia kwenye figo. Figo zako ni viungo viwili vyenye umbo la maharagwe, kila kimoja kikiwa na ukubwa wa...

picha
UMUHIMU WA UZAZI WA MPANGO KWA MAMA

Posti hii inahusu zaidi faida za uzazi wa mpango kwa akina Mama, tunajua wazi kubwa kuna faida kubwa za uzazi...

picha
FAHAMU UGONJWA WA KISUKARI AINA YA 1 (TYPE 1)

Kisukari cha Aina ya 1, ambacho wakati mmoja kilijulikana kama Kisukari cha changa au Kisukari kitegemeacho insulini, ni hali sugu ambapo kongosho hutoa insulini kidogo...

picha
SABABU ZA UGONJWA WA SHINIKIZO LA JUU LA DAMU.

Shinikizo la juu la damu ni hali ya kawaida ambapo nguvu ya muda mrefu ya damu dhidi ya kuta za...

picha
UGONJWA WA KISUKARI

Ugonjwa wa kisukari hurejelea kundi la magonjwa yanayoathiri jinsi mwili wako unavyotumia sukari kwenye damu (glucose). Glucose ni muhimu...

picha
MAUMIVU YA KIFUA YANAYOSABABISHWA NA KUPUNGUA KWA MTIRIRIKO WA DAMU KWENYE MOYO.

 Maumivu ya kifua yanayosababishwa na kupungua kwa mtiririko wa damu kwenye misuli ya moyo, kitaalamu huitwa Angina ni dalili...

picha
DALILI NA ISHARA ZA SHAMBULIO LA MOYO

Posti hii inazungumzia kuhusiana na Dalili na ishara za shambulio la moyo. Shambulio la moyo huzuia damu yenye oksijeni kufika...

picha
FAIDA ZA KULA BAMIA

Posti hii inazungumzia kuhusiana na Faida ambazo anaweza kupata mwanadamu Kama akila bamia Mara kwa mara. Bamia huliwa Kama tunda...

picha
UCHUNGUZI WA KUHARISHA DAMU NA TIBA YAKE

Posti hii inahusu zaidi uchunguzi wa kuharisha damu na Tiba yake, ni Ugonjwa ambao unaowashambulia sana watoto hasa wenye chini...

picha
UCHUNGUZI WA NIMONIA KWA MTOTO NA TIBA

Posti hii inahusu namna unavyoweza kumtambua mtoto mwenye Ugonjwa wa Nimonia na tiba anayopaswa kupata mtoto mwenye Nimonia

picha
NAMNA YA KUTIBU KUHARISHA KWA MTOTO UKIWA NYUMBANI.

Post hii inahusu zaidi njia za kutibu kuharisha kwa watoto wakiwa nyumbani, kwa sababu mara nyingine mtoto anaweza kuharisha si...

picha
MAELEKEZO MUHIMU KWA MAMA AU MLEZI WA MTOTO MGONJWA

Posti hii inahusu zaidi maelekezo muhimu kwa mama au mlezi wa mtoto mgonjwa. Ni maelekezo muhimu hasa wakati wa kutoa...

picha
MAMBO YA KUANGALIA KWA MTOTO MDOGO

Posti hii inahusu zaidi mambo ya kuangalia kwa mtoto mdogo chini ya umri wa miaka mitano ili kuweza kuweka afya...

Page 164 of 230

Kuhusu Bongoclass

image

Bongoclass ni jukwaa la Kitanzania lenye lengo la kushirikisha maarifa na akili ili kukuza uwezo wa watu binafsi na jamii kwa ujumla. Kupitia tovuti yetu, programu ya simu, na mitandao ya kijamii, Bongoclass hutoa maudhui ya elimu bure kwa Kiswahili katika maeneo mbalimbali kama afya, burudani, na masomo ya shule. Jukwaa hili linajikita katika kutoa fursa za kujifunza, kushirikiana, na kukuza uchumi kwa kuzingatia muktadha wa kitamaduni na lugha ya Kiswahili.