Vitu vilivyopo kwenye maji ya Amniotic fluid (majimaji yanayomzungruka mtoto aliyekuwepo tumboni wakati wa ujauzito)
Post hii inahusu zaidi viti vilivyopo kwenye maji ya Amniotic fluid, ni jumla ya vitu vyote vilivyopo kwenye maji ya Amniotic fluid.
Vitu vilivyopo kwenye maji ya Amniotic fluid.
1. Kwenye maji ya Amniotic fluid Kuna Alkaline hii alikalni iliyomo Ina kiwango chake ambacho kinamfanya mtoto aweze kuishi pale,alkaline umsaidie mtoto aendelee kukua zaidi kuanzia pale maji yanapotengenezwa mpaka anapozaliwa kiwango Cha alkaline kilichopo kwenye Maji ya Amniotic fluid ni pH ya 7.2. hii inamsaidia mtoto aweze kukua vizuri. Kwa hiyo Alkaline hii inamsaidia mtoto aweze kukua kuanzia hatua Moja kwenda nyingine.
2.Maji ya Amniotic fluid Kuna kiasi Cha maji ambayo Yamo ndani yake maji hayo uwa na kiwango maalumu ambacho kinahitajika Ili maji yaweze kuruhusu mtoto aweze kukua, maji hayo utokana na mkojo wa mtoto anapokuwa tumboni mwa mama yake na pengine kutokana na kazi mbalimbali mwilini ambazo uongeza kiwango Cha maji kwenye mwili, kiwango Cha maji ni kikubwa mno ambacho uanzia asilimia tisini na nane mpaka tisini na Tisa tunaona ni kiwango kikubwa mno.
3.Maji ya Amniotic fluid yana vyakula vya wanga, ambayo kwa kitaalamu huitwa fluctose na glucose, Kuna vyakula vya protein ambayo kwa kitaalamu huitwa albumin na globulin, Kuna vyakula vya mafuta Kuna homoni ambazo ni progesterone na oestrogen Kuna enzyme ambazo kwa kitaalamu huitwa alkaline phosphatase ambayo uzalisha kiasi Cha alkaline vyote hivi ukaa ndani ya Amniotic fluid na ufanya kazi mbalimbali na utokana na vitu mbalimbali.
4. Maji ya Amniotic fluid huwa na madini mbalimbali.
Madini mbalimbali ambayo kazi yake ni kujenga mwili na kufanya kazi mbalimbali mwilini madini haya ni pamoja na sodium, potassium na chlorine haya madini ufanya kazi mbalimbali kwenye mwili wa mtoto kama vile kujenga mwili na jaxi mbalimbali za mwili wakati wa makuzi ya mtoto.
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Kitabu cha Afya 👉2 kitabu cha Simulizi 👉3 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) 👉4 Bongolite - Game zone - Play free game 👉5 Tafasiri ya Riyadh Swalihina 👉6 ai web app
Post zinazofanana:
Yajue madhara ya kutoa mimba mara Kwa mara
Posti hii inahusu zaidi madhara ambayo yanaweza kutokea kwa wale wenye tabia ya kutoa mimba mara Kwa mara .
Soma Zaidi...Dawa hatari kwa mwenye ujauzito
Hii ni orodha ya dawa ambazo hutumiwa sana na watu kutoka maduka ya dawa lakini sio salama kwa wajawazito.
Soma Zaidi...Dalili za uvimbe kwenye kizazi
Posti hii inahusu zaidi Dalili za uvimbe kwenye kizazi,hizi ni Dalili ambazo ujitokeza kwa akina mama ambao wana uvimbe kwenye kizazi kwa hiyo endapo mama ameona Dalili kama hizi anapaswa kuwahi hospitali mara moja kwa uangalizi zaidi.
Soma Zaidi...Mbinu za kupunguza Kichefuchefu
Point hii inahusu zaidi mbinu za kupunguza Kichefuchefu hasa kwa wagonjwa na watumiaji wa madawa mbalimbali yanayoweza kusababisha kichefuchefu.
Soma Zaidi...