Posti hii inahusu zaidi njia za kutumia unapotaka kumwosha Mgonjwa vidonda, ni njia muhimu ambazo ni lazima kuzipitia unapotaka kumwosha Mgonjwa vidonda.
Njia za kutumia unapotaka kumwosha Mgonjwa vidonda.
1.Kwanza kabisa unapaswa kumtaarifu Mgonjwa kuhusu huduma unayotaka kumpatia, na pia hakikisha kubwa Mgonjwa amekubaliana na wewe na pia mweke sehemu ambayo utaweza kumwosha bila yeye juwa na wasiwasi.
2.Baada ya kumwandaa mgonjwa unapaswa kuandaa vifaa vyako ambayo ni pamoja na seti yenye vifaa vyote na pia unapaswa kuwa na beseni la maji yenye sabuni, chlorine,na maji mengine ya kawaida kwa ajili ya kuweka vifaa baada ya matumizi na pia unapaswa kuwa na mpira wa kuzuia maji maji kupita wakati wa usafi.
3.Baada ya kuandaa vifaa unaangalia faili la mgonjwa kama kuna dawa yoyote ambayo imeagizwa na daktari pia unapaswa kujiandaa dawa hiyo kama ipo , baada ya hapo unanawa mikono na kuvaa gloves na pia inafunguka seti yenye vifaa unatoa kifaa cha kuweka takataka wakati wa kusafisha.
4.Pamoja na hayo unachukua kufaa cha kuweka uchafu unajiweka karibu na inafunguka kidonda kama kimefungwa na unatoa nadaso ya juu na unaangalia kidonda kama kina usahaa au kama kuna mabadiliko yoyote ya rangi kwa hayapo unaanza kazi kama kuna usaha unatumia hydrogen peroxide na Uso kama hakuna usaha unatumia normal saline.
5. Ukiwa unaosha vidonda unaanza sehemu ya juu na kwenda sehemu ya ndani na unaanza sehemu safi kwenda chafu na ukimaliza unaweka dawa kama ipo na unafunga vizuri kidonda na baadae unamshukuru Mgonjwa kwa ushirikiano na unasaini kwa kuonyesha hali ya kidonda ulivyoikuta.
6. Na baadae inakusanya vifaa vyako unaviosha na kuviweka tayari kwa ajili ya kwenda kuua wadudu ambao wako kwenye vifaa ambavyo utumika. Katika kuosha vidonda tunapaswa kuwa makini ili kuepuka hali ya kupata magonjwa kutoka kwa wagonjwa wa vidonda.
Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.
Download NowUmeionaje Makala hii.. ?
Posti hii inahusu zaidi namna ya kuwasaidia wagonjwa waliopata maambukizi kwenye milija na ovari, ni wagonjwa waliopata maambukizi kwenye milija na ovari.
Soma Zaidi...Posti hii inazungumzia kuhusiana na kumsaidia mwenye aliyeumwa na nyuki.nyuki na wadudu ambao wakikushambulia Sana na ukikosa msaada unaweza kufa au kuwa katika Hali mbaya.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi aina mbalimbali ya maumivu ya mwili, Maumivu ya mwili utokea kwa aina mbalimbali kama ifuatavyo.
Soma Zaidi...Kukaza kwa misuli lunaweza kutokea muda wowote ila mara nyingi hutokea pindi mtu anapofanya mazoezi, amnapoogelea ama anapofanya kazi.
Soma Zaidi...Hii ni hali inayotokea ambapo wili unakuwa na joto la juu sana tofauti na kawaida.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi athari za kutotibu maambukizi kwenye kibofu Cha mkojo, nimatazito yanayoweza kutokea iwapo ugonjwa huu hautatibika.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu namna ya kumfanyia mgonjwa usafi mwili mzima, ni njia ambazo utumika kumfanyia mgonjwa usafi mwili mzima au kumwosha Mgonjwa hasa wale walio mahututi na hawawezi kuamka kitandani.
Soma Zaidi...Presha ya kupanda hutokea pale kipimo kinaposoma zaidi ya 120/80mm Hg.
Soma Zaidi...