Posti hii inahusu zaidi faida za kusafisha vidonda, ni faida ambazo Mgonjwa mwenye vidonge uzipata kama ifuatavyo.
Faida za kusafisha vidonda.
1. Kusafisha vidonda usaidia kuzuia wadudu mbalimbali ambao huwa ni nyemelezi kwenye vidonda kwa sababu kama wadudu wakishaingia kwenye kidonda uweza kuleta uaribifu mkubwa kwenye kidonda chenyewe.
2. Kusafisha kidonda usaidia kuondoa unyevunyevu nyevu kwenye kidonda kwa sababu unyenyekevu ndio usababisha maambukizi zaidi kwenye video fa kwa kusafisha tunaondoa unyenyekevu kwenye vidonda.
3. Kusafisha kidonda usababisha kuzuia kuvuja kwa kidonda kwa sababu pengine panakuwepo damu kwenye kidonda unaposafisha na kuweka dawa unazuia kuvuja kwenye kidonda.
4. Kusafisha kidonda umsaidia Mgonjwa aweze kujisikia vizuri na huru kwa sababu kidonda kinakuwa na harufu nzuri na pia mgonjwa anaweza kujisikia vizuri na kuweza kushirikiana na Watu vizuri.
5.Kusafisha vidonda umsaidia Mgonjwa kuweza kupona haraka kwa sababu wadudu waharibifu wote iondolewa na ngozi ya juu uweza kurudi kwa haraka kwa hiyo Mgonjwa anapona haraka sana.
6. Kwa hiyo tunapaswa kujua na kuelewa zaidi faida za kusafisha vidonda na Watu wale wenye vidonda vya mda mrefu mnapaswa kuvipeleka hospitalini ili kuweza kuvisafisha na ili viweze kupona haraka na wale ambao wanakataa kupeleka vidonda hospitalini na wanakaa navyo nyumbani wajitahidi kuvipeleka hospitalini ili watibiwe
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu huduma ya Kwanza kwa mtu aliyekunywa sumu
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu huduma ya Kwanza kwa mtu aliyepatwa na joto kubwa mwilini
Soma Zaidi...Endapo U.T.I inajirudiarudia baada yavkutibiwa inawezabkuwa ikakupa mawazo mengi. Katika post hii nitakufafanulia nini ufanye.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi sababu za kupoteza fahamu, ni sababu ambazo umfanya mtu kupoteza fahamu kwa sababu mbalimbali kama ifuayavyo.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi athari za kutotibu vidonda, hizi ni athari mbalimbali ambazo zinaweza kutokea ingawa kama vidonge haujatibiwa au vimetibiwa kwa kuchelewa.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi hatari zilizopo kwa mtu mwenye uzito mkubwa,kwa sababu ya kuwepo kwa uzito mkubwa na pia unene usio wa kawaida usababisha mtu kuwa na matatizo mbalimbali hasa saratani za kila sehemu kama tutakavyoona.
Soma Zaidi...Maisha ya mtu yanaweza kuwa hatarini ama kupotea mara moja baada ya kunywa sumu.
Soma Zaidi...Kinga ya mwili inapodhoofu mwili unakuwa hatarini kupata maradhi. Je unayajuwa mambo yanayodhoofisha kinga ysbmeili?
Soma Zaidi...