Post hii inahusu zaidi kuhusu kushambuliwa kwa moyo na kupumua, kushambuliwa kwa moyo na kupumua kwa kitaala huitwa (cardiopulmonary Arrest) ni kitendo Cha kusimama ghafla kwa moyo na kupumua.
Sababu za kushambuliwa kwa moyo na kupumua
1. Kupunguza kwa hewa ya oxgeni kwenye mwili husababisha moyo kusimama ghafla au kushambuliwa kwa moyo
2 kupungua kwa maji na damu kwenye mwili husababisha moyo kusimama ghafla
3. Kushuka kwa joto la mwili kuliko kawaida pia husababisha tatizo la moyo kusimama na upumuaji kuwa shida
4. Kupungua kwa madini kwenye mwili hasa potassium ambavyo husaidia kwenye moyo wakati wa kusukuma damu
5. Sumu kwenye damu ambayo husababisha moyo kuzidiwa katika ufanyaji wa kazi za kusukuma damu
6. Kuganda kwa damu, hii usababisha moyo kusukuma damu kwa kutumia nguvu lakini damu haiendi popote kwa hiyo moyo husimama ghafla
7. Kupasuka kwa mishipa inayosambaza damu nayo husababisha moyo kusimama ghafla
Kusimama kwa moyo ni ugonjwa wa hatari tunapaswa kunifanyia mgonjwa huduma ya kwanza Ili kuhakikisha moyo unashutuliwa na kufanya kazi tena
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Watu wengi wamekuwa wakijiuliza kuwa ukimwi huonekana baada ya muda gani toka kuathirika?
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi dalili za mtu mwenye ugonjwa wa kupungukiwadamu, ni dalili zinazoonekana kwa mtu Mwenye tatizo la upungufu wa damu.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi umuhimu wa usafi katika maisha ya mwanadamu au mwili wa binadamu.
Soma Zaidi...Posti hii inazungumzia kuhusiana na maambukizi ya tishu ya matiti ambayo husababisha maumivu ya matiti, uvimbe, joto na uwekundu. Pia unaweza kuwa na Homa na baridi. Ugonjwa huu huwapata zaidi wanawake wanaonyonyesha ingawa wakati mwingine hali hi
Soma Zaidi...Mie ni kijana wa kiume umri 33, nna tatizo la kujaa mate mdomoni nimeambiwa nna minyoo lakini hata nikinywa dawa sioni afadhali, niliona labda ni pombe nikapumzika kunywa tatizo lipo pale pale japo nisipokunywa haliwi kwa ukubwa ule ila lipo.
Soma Zaidi...Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu sababu za maumivu ya tumbo kitovuni na dalili zake
Soma Zaidi...Je na wewe unasumbukiwa na kunggoka jwa kucha. Tatizo limekunaza una muda gani nalo?
Soma Zaidi...Posti hii inazungumzia kuhusiana na tatizo la Kurithi ambapo Damu inatoka kwa muda mrefu wakati au baada ya jeraha bila kuganda.
Soma Zaidi...Posti hii inaelezea kuhusiana na dalili za kizunguzungu zinazotekea katika mwili wa binadamu
Soma Zaidi...Mawe kwenye figo yana sababu nyingi na yanaweza kuathiri sehemu yoyote ya njia yako ya mkojo kutoka kwa figo hadi kibofu chako.
Soma Zaidi...