Post hii inahusu zaidi namna ya kufanya usafi wa sikio, sikio ni mojawapo ya ogani ambayo usaidia kusikia,kwa hiyo sikio linapaswa kusafishwa kwa uangalifu kama tutakavyoona hapo chini.
Namna ya kutunza sikio.
1.Kwanza kabisa tunapaswa kujua kuwa sikio limegawanyika katika sehemu kuu tatu ambapo kuna sehemu ya nje, kuna sehemu ya katikati na sehemu ya ndani kwa hiyo kila sehemu ufanya kazi yake na kila sehemu upaswa kufanyiwa usafi maalumu.
2. Sehemu ya nje ndiyo ambayo ukusanya mawimbi ya sauti kwa hiyo tunapaswa kusafisha sehemu hiyo kwa kutumia kitambaa na maji safi na kuhakikisha hiyo sehemu haina vidonda hata kimoja kwa hiyo kila siku tunapopooga tunapaswa kufanyia sehemu hii usafi wa kutosha.
3.Sehemu nyingine ni sehemu ya katikati hii ni sehemu ambayo upokea mawimbi ya sauti na kuyabadilisha yakawa kwenye sauti fulani ambayo baadaye usafilishwa , sehemu hii uwa na wax ambazo uzaliwa kwenye sikio kwa hiyo uweza kutolewa na Pamba na tuepuke kuweka vitu vyenye ncha kali kwenye sehemu hii.
4.Sehemu ya tatu ya sikio uitwao sehemu ya ndani ambayo kazi yake ni kusafilisha mawimbi ya sauti na kuyapeleka ili yaweze kutafsiriwa na mtu uweza kusikia na kitendo hiki utumia mda mfupi sana. Na katika sehemu hii huwa kuna uchafu kwa hiyo tunaangalia kwa kutumia tochi na uchafu uligundulika utolewa kwa kifaa maalum cha kusafishia sikio kwa hiyo hatupaswi kutumia vi miti kutolea uchafu sehemu hii mpaka kifaa maalum.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Dermatitis ni hali inayofanya ngozi yako kuwa nyekundu na kuwasha. Ni kawaida kwa watoto, lakini inaweza kutokea katika umri wowote. Hakuna tiba iliyopatikana ya ugonjwa wa Dermatitis
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi namna ya magonjwa ya koo yanavyosambaa, magonjwa haya usambaa kutoka sehemu Moja kwenda nyingine kwa njia tofauti kama ifuayavyo
Soma Zaidi...Posti hii inazungumzia kuhusiana na maumivu ya shingo na ndani yake kunasababu zinazopelekea shingo kupata maumivu.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi namna ya kuzuia maambukizi kwenye nephroni, ni njia zinazotumika kuzuia maambukizi kwenye nephroni
Soma Zaidi...Posti hii inahusu namna ya kumsaidia mgonjwa aliyepungukiwa na damu kwa sababu ya minyoo.
Soma Zaidi...Posti hii inaelezea kuhusiana na kujikinga au kuzuia virusi vya ukimwi.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu sababu za vidonda vya tumbo sugu
Soma Zaidi...Swali hili limeulizwa na mdau mmoja. Kuwa endapo mtu atafanya ngono zembe na akapata virusi je ataweza kuambukiza.
Soma Zaidi...Katika post hii utajifunz akuhusu vidonda vya tumbo na jinsi vinavyotokea. Utajifunza pia tahadhari anazopasa mtu achukuwe na vyakula salama anavyopaswa kula.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi dalili za fangasi uken, hizi ni baadhi ya dalili ambazo ujitokeza kwa mtu Mwenye tatizo la fangasi uken.
Soma Zaidi...