Hello!! Nina swali kwenye mambo ya uzazi.
Nilikutana na mwenza wng siku ya hatari na sasa yapata siku ya 12 ila nimekuwa najisikia hamu ya kula vitu tofauti tofauti, naninatoka maji meupe yasiyotoka harufu, matiti nikiyaminya nasikia maumivu ila chuchu hazijabadirika rangi nawala haziumi, ila pia chini ya tumbo upande wa kulia kwangu nakuwa nasikia kitu kinacheza haswa najisikia hiyo hali nikiwa nimelala nimetulia, je hizo zinaweza kuwa dalili za mimba???
Swali limeulizwa Tarehe: 27-02-2023-06:10:56-