SWALI

Habari za muda huu. Naomba kuuliza. Mimi nasumbuliwa na tumbo Tarehe za Hedhi zinapishana mpaka miezi yapishana mwezi naona mwezi sioni nanikiona napata maumivu makali sana pia ujauzito aupatikani na sijaweka kinga yapata miaka miwili sasa lakini amna ujauzito. Ni ilo tu mkuu

Swali No. 70


JIBU
Samahani Jbu la swali hili Limehifadhiwa. Nicheki Whats App upte majibu ya swali hili.
Nicheki WhatsApp Bofya hapa(Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 70 )

Kumbukumbu
Swali hili limeulizwa na Muulizaji Kutoka WhatsApp Chat yetu tarehe 30-01-2023-04:12:57 . Jina la muulizaji limehifadhiwa.

Nicheki Nicheki WhatsApp


MASWALI YANAYOFANANA