SWALI:
Ni njia gani bora ya kuzuia magonjwa ya zinaa?
Swali No. 1300
JIBUNjia bora ni kutumia kondomu, kuepuka ngono zembe, na kuwa na mpenzi mmoja aliye mwaminifu.
Kumbukumbu
Swali hili limeulizwa na Muulizaji Kutoka WhatsApp Chat yetu tarehe 24-01-2023-08:28:45 . Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Nicheki Nicheki WhatsApp