Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Tumbo kuuma upande wa kushoto linaweza kutibika VIP?
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 455
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Doctor habari Mimi Nina darili zote za mimba lkn Jana nimepima kwenye (upt) ukachora msitari mmoja alaf ni mstari nusu Shida ni nn
Doctor naomba nijue doctor hii ni mala 3 natumia pepu nimekuwa Kama Nina mikosi jee haiwezi pelekea dawa kutofanya kazi na wanasema pepu Ina asilimi 65 ya kuzuia ugonjwa na sio asilimia100 doctor naomba niambie hii iko vp
Niko na ujauzito miez 3 ,nasumbuliwa na fungus sijui italeta madhara Kwa mtoto ,pia nimetumia dawa Sion mabadiliko
Kwaiyo milija ya uzaz ukiwa umeziba unatibiwa vip unapatiwa daw amaa
Kupata vichomi nazo ni dalili za ujauzito na hizo homon zasababishwa na nin kubadilika
habar nilikua naulize mm mzunguuko wangu mfupi je 25 nilipata pld tareh 27 nika maliza tareh30 nikashiliki tendo tareh 6 ss sijielew mpaka ssiv na mda wakuona pld umepita ila leo nimeona pld ila nyepes alafu ndogo je nnaweza kua namimba mana naskia kizunguzungu kichwa kinauma mwili wangu umechoka