Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Nina mimba afu natokwa na damu na kiuno kinauma sana
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 1212
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Je huu ugonjwa hutibiwa kwa mda gani Wa kuvimba mapumbu na maumivu makali
Vipi boga kuhusiana na mgonjwa was sukari
Habari za uzima nina ndugu yangu anaumwa kuna dude frani limetokezea kama ulimi wa pili lina msumbua sana sijajua ni ugonjwa gani
sijaelewa, ni baada ya siku ngapi kumaliza hedhi ndo maji yanayo onyesha dalili za kubeba mimba yanaonekana?
Asante mimi ningependa kuuliza swali kwamba nimeshiriki tendo la ndoa cku ya 12 adi siku ya 16 but mabadiliko ninayoyaona ni tumbo kujaa ges, kuchoka bila sababu, na tumbo la chini kuniuma kwa sana na leo ni siku ya 11 yani tumbo linavuta mpaka basi
Ningependa kujua iyo nayo ni dalili ya mimba changa kwangu ama
Je kugusana na mwanamke ambaye unaruhusiwa kumuoa kama mkeo ukiwa na udhu je habatwilishii udhuu?