Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Maumivu ya tumbo yana mahusiano na maradhi mengi. Vinaweza kuwa ni Typhod ama shida tu kwenye mfumo wa chakula kama mvurugiko wa tumbo, tumbo kujaa gesi, aina ya chakula ulichokula ama kukosa choo.
Vyema kumuona daktari ili kupata vipimo zaidi. Katika maradhi yanayoweza kusababisha maumivu ya tumbo kwa ujumla ni pamoja na: -
1. Vidonda vya tumbo
2. Apendeksi (appendix)
3. Tyohod