Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Endapo atakuwa ameathirika kweli, na hiyo damu akawa amekupaka kwenye sehemu yenye jeraha ama mchubuko, yes upo uwezekano wa kupata maambukizi.
Hata hivyo hatuwezi kusema kuwa umeathirika bila vipimo. Kwani sio kila utakaposex na kuathirika na we utaathirika. Pia kuathirika ambaye anatumia dawa vyema sio sio rahisi kuambukiza kama yule asietumia